album cover
Utanitambuaje
5,923
Christian
Utanitambuaje was released on June 16, 2007 by Bony Mwaitege as a part of the album Utanitambuaje
album cover
Release DateJune 16, 2007
LabelBony Mwaitege
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM112

Credits

PERFORMING ARTISTS
Bony Mwaitege
Bony Mwaitege
Performer
Bahati Bukuku
Bahati Bukuku
Chorus
COMPOSITION & LYRICS
Boniphace Patson Mwaitege
Boniphace Patson Mwaitege
Songwriter

Lyrics

Utanitambuaje kama nimeokoka?
Utanitambuaje kama namweshimu Mungu?
Nasema, utajuaje kama tuko pamoja
Katika safari ndefu ya kwenda mbiguni eeh?
Utanitambuaje ndugu yangu nakuuliza niambie aiyee!
Huwezi kunitambua kama nimeokoka, kwa kunitazama sura yangu
Huwezi kunitambua kama nimeokoka kwa kunitazama maumbile yangu
Bwana asifiwe isiwe sababu kukufanya uamini kuwa nimeokoka
Ndo mali yangu naweza kutamka Bwana asifiwe kumbe sijaokoka
Utanitambuaje Kama nimeokoka niambie aiyee!
Ukitaka kutambua kama nimeokoka
Hakuna haja ya kupata shida
Ukitaka kutambua kama nimeokoka
Hakuna haja ya kuumiza kichwa
Bwana wetu Yesu alishasema
Utawatambua kwa matendo
Bwana wetu Yesu alishasema
Utawatambua kwa matendo
Matendo
Tazama matendo yangu
Matendo yangu
Tazama matendo utanitambua eeh!
Matendo
(Matendo)
Tazama matendo
Hallelujah
Matendo yangu
Eeeh!
Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje
Usinitazame Sura tazama matendo
Matendo
(Matendo yangu)
Tazama matendo
Hallelujah
Matendo yangu
Ooh!
Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje
Usinitazame umbile tazama matendo
Matendo
(Matendo yangu)
Tazama matendo
Hallelujah
Matendo yangu
Weeh!
Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje
Hata kama nimebatizwa tazama matendo
Matendo
(Matendo yangu)
Tazama matendo
Hallelujah
Matendo yangu
Ooh!
Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje
Mtume Petro aliulizwa
Wewe ni mwanafunzi wa Yesu
Mtume Petro kwa kuogopa wayahudi akakataa kasema mimi simjui Yesu
Wakamwambia mbona hata kusema kwako
Kunaonyesha wewe mwanafunzi wa Yesu
Mtume Petro akaamua kuondoka
Hata hivyo wakamtambua mwendo wake
Wakamwambia mbona hata kutembea Kwako Petro
Kunaonyesha wewe mwanafunzi wa Yesu
Kuongea na kutembea kwake Petro
Kulionyesha kuwa mwanafunzi wa Yesu
Matendo yangu
Matendo
Matendo tazameni matendo yangu
Utanitambua eeh
Matendo
(Matendo)
Tazama matendo
Hallelujah
Matendo yangu
Eeeh!
Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje
Usinitazame Sura tazama matendo
Matendo
(Matendo yangu)
Tazama matendo
Hallelujah
Matendo yangu
Ooh!
Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje
Usinitazame umbile tazama matendo
Matendo
(Matendo yangu)
Tazama matendo
Hallelujah
Matendo yangu
Weeh!
Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje
Hata kama nimebatizwa tazama matendo
Matendo
(Matendo yangu)
Tazama matendo
Hallelujah
Matendo yangu
Ooh!
Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje
Ukitaka kutambua kama nimeokoka
Usitazame jinsi ninavojisifia
Naweza kujisifu mimi ni mpole sana
Lakini matendo yangu yakakataa
Naweza kujisifu mimi nawajali sana yatima
Lakini matendo yangu yakakataa
Naweza kujisifu mimi nawajali sana wajane
Lakini matendo yangu yakakataa
Matendo
Tazama matendo yangu
Matendo
Kama kweli ninamcha Mungu utanitambua eeh!
Matendo
(Matendo)
Tazama matendo
Hallelujah
Matendo yangu
Eeeh!
Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje
Usinitazame Sura tazama matendo
Matendo
(Matendo yangu)
Tazama matendo
Hallelujah
Matendo yangu
Ooh!
Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje
Usinitazame umbile tazama matendo
Matendo
(Matendo yangu)
Tazama matendo
Hallelujah
Matendo yangu
Weeh!
Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje
Hata kama nimebatizwa tazama matendo
Matendo
(Matendo yangu)
Tazama matendo
Hallelujah
Matendo yangu
Ooh!
Kama kweli ninamcha Mungu utanitambuaje
Written by: Boniphace Patson Mwaitege
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...