Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Nimo Gachuiri
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Nimo Gachuiri
Songwriter
Lyrics
[Chorus]
Sina ujanja maishani mwangu fanya utakavyo
We ndio dereva maisha yangu nakupa kupa, kupa
Sina ujanja wanaponipiga Baba nitetee
Baba nitetee, Baba nitetee
Sina ujanja maishani mwangu fanya utakavyo
We ndio dereva maisha yangu nakupa kupa, kupa
Sina ujanja wanaponipiga Baba nitetee
Baba nitetee, Baba nitetee
[Verse 1]
Tembea nami, niongoze
Chukua Daddy shukrani zote
Nimekuona hujawahi niangusha
Kuzaliwa hadi sasa
[Verse 2]
Umbali huu nimetoka
Umekuwa mwema, umekuwa mwema
Na ninapoenda ninachofanya nifanikiwe
Hata kwa mabaya na kwa baridi unifunike
Ninanyenyekea na kusikiza tema nami Wee
Basi sema nami Wee, Baba sema nami Wewee Baba
[PreChorus]
Basi Baba fanya kama wewe, fanya kama wewe
Basi Baba fanya kama wewe, ooh
Basi Baba fanya kama wewe, fanya kama wewe
Basi Baba fanya kama wewe, fanya kama wewe
[Chorus]
Sina ujanja maishani mwangu fanya utakavyo
We ndio dereva maisha yangu nakupa kupa, kupa
Sina ujanja wanaponipiga Baba nitetee
Baba nitetee, Baba nitetee
[Verse 3]
Mimi bila Wewe sifaii
Ukiondoka Baba sifaii
Najipata-pata nikifurahii
Kwako naona raha nafurahii
[Verse 4]
Naringa-ringa na Wewe
Siwezi bila Wewe
Kuvaa kwangu ni Wewe
Kulala kuamka ni Wewe
Naringa na Wewe
Siwezi bila Wewe
Kuvaa kwangu ni Wewe
Kulala kuamka ni Wewe
[PreChorus]
Basi Baba fanya kama Wewe, fanya kama Wewe
Basi Baba fanya kama Wewe
Basi Baba fanya kama Wewe, fanya kama Wewe
Basi Baba fanya kama Wewe
[Chorus]
Sina ujanja maishani mwangu fanya utakavyo
We ndio dereva maisha yangu nakupa kupa
Sina ujanja wanaponipiga Baba nitetee
Baba nitetee, Baba nitetee
Sina ujanja maishani mwangu fanya utakavyo
We ndio dereva maisha yangu nakupa kupa, kupa
Sina ujanja wanaponipiga Baba nitetee
Baba nitetee, Baba nitetee
Written by: Nimo Gachuiri