Credits

Lyrics

[Chorus]
Umefanya mambo, fanya mambo
Umefanya mambo aaah, fanya mambo
Umefanya mambo, fanya mambo
Umefanya mambo ewe Yesu
[Verse 1]
Pakatokea dhoruba kali (Ndio)
Mawimbi yanatisha hali (Ndio)
Wagonjwa wametoka mbali
Aah fanya mambo
[Verse 2]
Ile damu ya Calvary (Ndio)
Bado fresh inafanya kazi (Ndio)
Inaponya kwa kila hali (Ndio)
Aaah fanya mambo
[Chorus]
Umefanya mambo, fanya mambo
Umefanya mambo aah, fanya mambo
Umefanya mambo, fanya mambo
Umefanya mambo ewe Yesu
[Verse 3]
Mwokozi wangu, I love you mmwah
Mwokozi wangu, I love you mmwah
Nimewacha mavela, nimewacha mabebe
Nimewacha mavela, nimewacha mabebe
[Verse 4]
Mwokozi wangu, I love you mmwah
Mwokozi wangu, I love you mmwah
Nimewacha mavela, nimewacha mabebe
Nimewacha mavela, nimewacha mabebe
[Chorus]
Ju umefanya mambo, fanya mambo
Umefanya mambo aah, fanya mambo
Umefanya mambo, fanya mambo
Umefanya mambo ewe Yesu
[Verse 5]
Toka kitambo-kitambo
Unafanya mambo-mambo
Toka kitambo-kitambo
Unafanya mambo-mambo
[Verse 6]
Uligawanya bahari wewe
Ulishindanga Farao wewe
Uligawanya bahari wewe
[Chorus]
Juu umefanya mambo, fanya mambo
Umefanya mambo aah, fanya mambo
Umefanya mambo, fanya mambo
Umefanya mambo ewe Yesu
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...