album cover
Malipo
3,316
Afro-Pop
Malipo was released on May 5, 2023 by Ziiki Media as a part of the album Malipo - Single
album cover
Release DateMay 5, 2023
LabelZiiki Media
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM96

Music Video

Music Video

Credits

Lyrics

[Verse 1]
Ujumbe nimeusoma
Na salamu nimezipokea
Nami mzima wa afya nashukuru
Ila hali bado ngumu
Lakini bado sija kata tamaa
Kwenye juhudi na ndoto zangu
Ulio dai kuwa ndogo
[Verse 2]
Nimekubali matokeo
Na naelewa sababu zako za kuniacha
Kwa hilo sita kuhukumu
Kinachoniuma
Kutoka na rafiki wangu wa dhati
Kunidharau na kunidhihaki wewe
Kinachoniuma
Hivi mmenicheati mara ngapi
Mbele ya macho yangu bila kujua
[Chorus]
Ooh malii-malipo
Ni hapa hapa duniani
Sikuombei mabaya
Ila nakuchukia
Malii-malipo
Ni hapa-hapa duniani
Sikuombei mabaya
Ila nakuchukia
[Verse 3]
Umasikini wangu unaniponzaa
Hewalah!
Oh ooh
Na ukitaka kujua jinsi gani nakuchukia
Nimesahau jina lako
Sikumbuki mie!
Oh ooh
Na ukitaka kujua jinsi gani nakuchukia
Nisha sahau ata sura yako
Jaraha ulinioachia mi sidhani ka nitapenda tena umenivuruga mama
Umenivuruga
Jaraha ulinioachia mi sidhani ka nitapenda tena
Umenivuruga
[Verse 4]
Kinacho niuma kutoka rafiki wangu wa dhati
Kunidharau na kunidhihaki we!
Oh ooh
Kinachoniuma
Hivi mmeni cheati mara ngapi
Mbele ya macho yangu bila kujua
[Chorus]
Ooh malii-malipo
Ni hapa-hapa duniani
Sikuombei mabaya
Ila nakuchukia
Malii-malipo
Ni hapa-hapa duniani
Sikuombei mabaya
Ila nakuchukia
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...