album cover
Chozi La Haki
10,586
Christian & Gospel
Chozi La Haki was released on May 10, 2024 by Ambwene Mwasongwe as a part of the album Ombi Langu
album cover
Release DateMay 10, 2024
LabelAmbwene Mwasongwe
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM130

Lyrics

[Verse 1]
Bado nakumbuka maono
Niliyoyaona zamani
Nalimuona Bwana ameketi
Amezungukwa na halaiki
Naliona watu makundi-makundi
Wakimwendea wapewe haki
Tena nalisikia sauti za vilio
Wakimmiminiya machozi miguhuni
[Verse 2]
Nasikia majina ya watu yakitajwa
Majina ya inchi, majina ya viongozi
Kutoka ardhini misituna na majini
Sauti ya damu ikidai kisasi
[Verse 3]
Naliona wingu jeusi la lahana
Ikipafunika kila penye dhuluma
Tena naliona malaika wa ole
Akipiga kelele kuwaambia watu
[PreChorus]
Ole wako wewe utendaye dhuluma
Ole wako wewe uoneyaye
Ole wako gadhabu inakuja
Ole wako ewe nchi ya dhuluma
[Chorus]
Ole wako inchii isiyo na haki
Ole wako watu wanaodhulumu
Ole wako inchii isiyo na haki
Ole wako watu wanaodhulumu
Ole wako inchii isiyo na haki
Ole wako watu wanaodhulumu
Ole wako inchii isiyo na haki
Ole wako watu wanaodhulumu
[Verse 4]
Nalimwona kijana jeuri
Aliyemuumiza mwenzake
Akagoma kumuomba msamaha
Akidhania yuko salama
Naye akasogea kwa Mungu
Tena akapeleka na sadaka
Kamwacha ndugu yake analia
Kamwachia mahumivu moyoni
[Verse 5]
Jina lake likatajwa
Katika walio ng'ang'aniwa
Jina lake likadaiwa adhabu
Jina lake likadaiwa hukumu
[Verse 6]
Yesu akaagiza agizo
Niwaambie watu wake
Warekebishe makosa yao yote
Kabla hawajalipa senti ya mwisho
[Verse 7]
Hukumu yake ni kali kuliko dai
Gadhabu yake ya waka mama moto
Ukitajwa jina lako utaadhibiwa
Akikishe umelipa senti ya mwisho
[PreChorus]
Achana haraka na huyu shetani
Achana haraka na huyu shetani
Atakufikisha pabaya
Atakufikisha pabaya
Achana haraka na huyu shetani
Achana haraka na huyu shetani
Atakufikisha pabaya
Kabla hajakufikisha pabaya
[Outro]
Ole wako inchii isio na haki
Ole wako watu wanaodhulumu
Ole wako inchii isio na haki
Ole wako watu wanaodhulumu
Ole wako inchii isio na haki
Ole wako watu wanaodhulumu
Ole wako inchii isio na haki
Ole wako watu wanaodhulumu
Written by: Ambwene Mwasongwe
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...