album cover
Mbegu (Live)
album cover
Mbegu (Live) was released on October 5, 2025 by AIC Chang'ombe Choir as a part of the album 100fold Blessing (Live)
October 5, 2025
LabelAIC Chang'ombe Choir
BPM115
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

LYRICS
Solo: Mimi ni mbegu iliyo anguka katika udongo mzuri
Ikazaa moja, moja kwa mia, mia kwa maelefu
Wote: Mimi ni mbegu iliyo anguka katika udongo mzuri
Ikazaa moja, moja kwa mia, mia kwa maelefu
Solo: Mbegu zilikua nyingi
Zilikua nyingi
Nyingi sana
Zingine zilianguka
Juu ya mwamba
Juu ya mwamba
Jua lilipowaka zikakauka
Zikakauka
Zingine zilianguka karibu na njia zikaliwa na ndege
Wote: Mimi ni mbegu iliyo anguka katika udongo mzuri
Ikazaa moja, moja kwa mia, mia kwa maelefu
Solo: Nimelijua kusudi lako Mungu wangu
Wote: Nimelijua kusudi lako Mungu wangu
Solo: Mawazo yako ni mema kwangu nimejua
Wote: Nimelijua kusudi lako Mungu wangu
Solo : Nimelijua kusudi lako Baba yangu
Wote: Nimelijua kusudi lako Mungu wangu
Solo: Mawazo yako ni mema kwangu nimejua
Wote: Nimelijua kusudi lako Mungu wangu
Solo: Kama ningeanguka juu ya mwamba
Jua lilipowaka ningeungua
Kama ningeanguka kwenye miiba
Nisingeweza kustawi X2
Kusudi la Mungu kupitia mimi
Wote: Kwa jina la Yesu niongezeke
Solo: Mpango wa Mungu maishani mwangu
Wote: Kwa jina la Yesu niongezeke
Solo: Mimi sio laana mimi ni baraka
Wote: Kwa jina la Yesu niongezeke X2
Wote: Kupitia mimi familia yangu iongezeke
Kupitia mimi marafiki zangu waongezeke
Kupitia mimi kanisa langu liongezeke
Niwe baraka
Nitokapo na niingiapo
Niwe baraka
Wote: Kupitia wewe familia yako iongezeke
Kupitia wewe marafiki zako waongezeke
Kupitia wewe kanisa lako liongezeke
Uwe baraka
Utokapo na uingiapo
Uwe baraka.
Written by: Elisha Gurlat
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...