album cover
Weekend
13
World
Weekend was released on December 17, 2021 by The Musiq Market as a part of the album Weekend - Single
album cover
Release DateDecember 17, 2021
LabelThe Musiq Market
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM95

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Taoo
Taoo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Eugen Baltazar Soka
Eugen Baltazar Soka
Songwriter
Godlisten Peter Amasi
Godlisten Peter Amasi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Gpea
Gpea
Producer

Lyrics

Yeah yeah
Ayii, yeah
It's me your favourite boy
(Lowkey)
This is the weekend, am so happy
Nasubiria zile simu za leo wapi
Nimejipanga ndio, na mashpapi
Tukutane viwanja sitaki jua unatoka wapi
Nimepiga njaro wiki nzima hivyo ukiniona bar niache nilewe
Usijifanye una uchungu na hela zangu na wakati nimetafuta mwenyewe
Nimepiga njaro wiki nzima hivyo ukiniona bar niache nilewe
Usijifanye una uchungu na hela zangu na wakati nimetafuta mwenyewe
(Ale)
Leta baridi ndo ina matter
Mixer changanya vya marasta
Kama nna wenge zima data
Mpaka kuchee ndo swadakta
Leta baridi ndo ina matter
Mixer changanya vya marasta
Kama nna wenge zima data
Mpaka kuchee ndo swadakta
This is a weekend weekend
Weekend weekend
This is a weekend weekend
Weekend weekend
Niko fresh babaa hakuna ninachohofia
Tukikutana bar usifkiri nitakuomba beer
Demu akinipa game sirembi namkanyagia
Baada ya mchezo kila mtu analala na mia
Nikute kwenye anga nimetinga naongea sana
Tukikutana kesho ukiuliza kitu nakana
Na hiyo ni haki maana tingishiwa vigumu sana
Huwa sipendi laini laini kama duu savanna
Hebu usiniletee pupa hii ni weekend
Nimejitoa out mwenyewe kuja kuspend
Hizo kelele na fujo fujo huwa sipendi
Hivyo sitaki maswali yako ya nyumbani huendi maana
Nimepiga njaro wiki nzima hivyo ukiniona bar niache nilewe
Usijifanye una uchungu na hela zangu na wakati nimetafuta mwenyewe
Nimepiga njaro wiki nzima hivyo ukiniona bar niache nilewe
Usijifanye una uchungu na hela zangu na wakati nimetafuta mwenyewe
(Ale)
Leta baridi ndo ina matter
Mixer changanya vya marasta
Kama nna wenge zima data
Mpaka kuchee ndo swadakta
Leta baridi ndo ina matter
Mixer changanya vya marasta
Kama nna wenge zima data
Mpaka kuchee ndo swadakta
This is a weekend weekend
Weekend weekend
This is a weekend weekend
Weekend weekend This is a we
(Worldwide intellect)
Written by: Eugen Baltazar Soka, Godlisten Peter Amasi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...