Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Marion Shako
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Marion Shako
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Nafsi Yangu usichoke, roho yangu msifu Bwana
Aliahidi atatenda (Mtumainie Bwana)
Ahadi zake ni za milele, akiahidi atatenda
Roho yangu, nafsi yangu (Mtumainie Bwana)
[Chorus]
Kama mvua ishukavyo, toka mbinguni kwenye ardhi
Na neno lake kwa kinywa chake, halitarudi bure
Litatimiza mapenzi yake, litatenda alivyosema
Aliahidi atetenda, mtumainie Bwana

[Verse 2]
Mawazo yake sio yetu, njia zake si kama zetu
Mbingu zilivyo juu ya nchi (Mawazo yake ni makuu)
Ataagiza fadhili zake, wimbo wake kwangu usiku
Sifadhaike usiiname, mtumainie Bwana
[Chorus]
Kama mvua ishukavyo, toka mbinguni kwenye ardhi
Na neno lake kwa kinywa chake, halitarudi bure
Litatimiza mapenzi yake, litatenda alivyo sema

Written by: Marion Shako

![Watch Ahadi Zake - Marion Shako [Skiza 71112060] Please subscribe to this channel on YouTube Watch Ahadi Zake - Marion Shako [Skiza 71112060] Please subscribe to this channel on YouTube](https://i.ytimg.com/vi/Q0eqW27rbqQ/hqdefault.jpg)