album cover
Yahweh
574
Christian & Gospel
Yahweh was released on June 18, 2023 by Esther Wahome as a part of the album Kuna Dawa
album cover
Release DateJune 18, 2023
LabelEsther Wahome
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM114

Credits

PERFORMING ARTISTS
Esther Wahome
Esther Wahome
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Esther Wahome
Esther Wahome
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Malaika wamwimbia wakisema Hosana
Maserufi juu mbinguni wote wanamwabudu
Wazee ishirini na nne wote wanamwinamia
Kila ulimi unakiri Yahweh ni Mungu
[Verse 2]
Malaika wamwimbia wakisema Hosana
Maserufi juu mbinguni wote wanamwabudu
Wazee ishirini na nne wote wanamwinamia
Kila ulimi unakiri Yahweh ni Mungu
[Chorus]
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Haleluya
[Chorus]
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Haleluya
Mataifa ya dunia yote yanamtambua
Wanadammu duniani wote wanamkimbilia
Tazameni mataifa yote yanamsujudia
Kila ulimi unakiri Yahweh ni Mungu
[Verse 3]
Mataifa ya dunia yote yanamtambua
Wanadammu duniani wote wanamkimbilia
Tazameni mataifa yote yanamsujudia
Kila ulimi unakiri Yahweh ni Mungu
[Chorus]
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Haleluya
[Chorus]
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Haleluya
[Verse 4]
Hata ndege wa angani wote wanamwimbia
Viumbe vyote vyenye uhai vinamshangilia
Hata wazee na watoto wote wamfurahia
Kila ulimi unakiri Yahweh ni Mungu
[Verse 5]
Hata ndege wa angani wote wanamwimbia
Viumbe vyote vyenye uhai vinamshangilia
Hata wazee na watoto wote wamfurahia
Kila ulimi unakiri Yahweh ni Mungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Haleluya
[Chorus]
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Haleluya
[Chorus]
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Haleluya
[Chorus]
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Haleluya
[Chorus]
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Haleluya
[Chorus]
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Haleluya
[Chorus]
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Haleluya
[Chorus]
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Yahwe ni Mungu wa miungu
Haleluya
Written by: Esther Wahome
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...