Credits

PERFORMING ARTISTS
Dady Again
Dady Again
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Dady Again
Dady Again
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Dady Again
Dady Again
Vocal Producer

Lyrics

Nina gundu gani,
mbona wenzangu ,
wanapendana ,
Kila kukicha
Ila kwangu tafarani,
nyumba ndo imegeuka
uwanja wa Vita,
Kila ninachofanya hakikupendezi
au umenichoka asa mbona hunielezi,
unaanzisha bifu, wakwanza mchochezi
ooh noh no!!
                   Yeeeh!
I don't wanna fight with you
anymore, Kama vipi TUACHANE tu,
maana hatutokua wakwanza Wala
wa mwisho you know,
                   yeeh!!
I don't wanna Goosebumps
I don't need you more,
I don't wanna pain inside my heart ,
you can give me space,
I go give you more,
maana si ndo unachokitaka,
 
Kama vipi tumalizane , tuachanee
Kama vipi tumalizane,
 Wala sitokuradhimisha,
Kama vipi tumalizane
tuachanee, Kama vipi tumalizane,
OOh uuuh waaa aah aah ×2
sijawahi pata chembe ya heshima,
unachojua wewe ni kutukana,
kosa sio kosa ndo unanuna ,
ooh why??
 
unapenda kugombaana nah!!
ukianza usiku mpaka mchana,
unawaza Vita Mambo hayatoisha,
mpaka uhakikishe umenikera
yeeh!!
I don't wanna fight with you
anymore, Kama vipi TUACHANE tu,
maana hatutokua wakwanza Wala
wa mwisho you know,
                   yeeh!!
I don't wanna Goosebumps
I don't need you more,
I don't wanna pain inside my heart ,
you can give me space,
I go give you more,
maana si ndo unachokitaka,
 
Kama vipi tumalizane , tuachanee
Kama vipi tumalizane,
 Wala sitokuradhimisha,
Kama vipi tumalizane
tuachanee, Kama vipi tumalizane
Written by: Dady Again
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...