Music Video

Nani Kama Mama (feat. Ommy Dimpoz)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Christian Bella
Christian Bella
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Christian Bella
Christian Bella
Composer

Lyrics

Mama, oh mama (na Posi kwa Posi) Mama, oh mama eh Nani kama mama? Ah Oye, nani kama mama? Heshima kwa mama Yale mateso, ulinibeba Miezi mitisa, tumboni mwako Pole sana mama Nikupe nini? Heshima kwa mama, mama, eh Uliteseka siku ya kunitoa duniani Nikupe nini? Mama, eh Thamani ya malezi yako siwezi kuyalipa (mama eh) Nani kama mama? (Mama, mama, ma) Nani kama mama? (Mikono yako kwangu ni baraka) Nani kama mama? (Usisubutu kumdharau mama, yo yo) Nani kama mama? (Ma, ma, ma, mama) Hello mama, hii ni kwako mama See, nimekukumbuka sana Mama, mama, usiku na mchana Ay, nakuombea upumzike salama Tabia na heshima, eh Busara na hekima, eh Ay, ulinifundisha vyema, eh See, nakuombea upumzike salama Matatizo ya dunia, eh Kweli ninayapitia, eh Yale ulonihusia, eh Ya kweli mama, eh Matatizo ya dunia, eh Kweli ninayapitia, eh Yale ulonihusia, eh Eeh eh, mama, eh Malezi ya mama, elimu ya mama Haina ada wala cheti Ila ni zaidi ya elimu ya chuo kikuu Nikikumbuka zamani nilipokuwa mutoto Nikilia usiku, mama, lazima utakesha na mimi Huwezi kukubali niwe macho usiku Nawe ufumbe macho yako Mapenzi ya mama kwa mutoto wake Haina mfano Hata mapenzi ya boyfriend na girlfriend hayafiki hata robo Nikikumbuka zamani nilipokuwa mutoto Nikiumwa usiku, mama, lazima utakesha na mimi Mola wasaidie wakina mama wote Wape maisha marefu Nani kama mama? Mama ni mama ye ye (mama ye) Thamani ya malezi yako siwezi kuyalipa Mama, mama ye Mama, mama, mama Nasema mama ni mama ye Nani kama mama? (Mama) Mama ni mama (ni mama) Heshima kwa mama Mama ni mama (we) (Mama) nani kama mama? (Mama, mama, ma) Nani kama mama? (Mikono yako kwangu ni baraka) Nani kama mama? (Usisubutu kumdharau mama, yo yo) Nani kama mama? (Ma, ma, ma, mama)
Writer(s): Christian Bope Bella Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out