album cover
Nishaurini
album cover
Nishaurini was released on June 23, 2023 by Neyrannytz as a part of the album Nishaurini - Single
June 23, 2023
LabelNeyrannytz
BPM166
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Yani hivi vimbweka so vimbweka sio hata majengeka ila naona kama meli inatia naanga kila nkijikaza nateseka wenzangu wanacheka naona so kweli naitaji msaada.. yani katembea nalafiki yang kipeenzi ila sijajionea nimezifumania message ushahidi wa meseji bado hautoshi nimewakuta ndani tena kwenye kochi sisemi wanafanya kile ama kipi ila nimewakuta wote wako uchi ye aliomba ni mnyenye kee aliomba nimbe mbeleze kwake nikawa zeze kumbe zezeta mimzembe.. kinacho niumiza sio kosa langu ila anataka mi ndo nimuombe msamaha yani ata alicho nifanyia mimi kwang point yake anacho dai et nitamaa ndio maana ( naombeni )ushauli)yakwamba niachane nae au niombe msamaha yee niashaurini ye anavyo dai hawaja fanya chochote ila walikua wanataka kufanya(nishaulini) usijiulize nini wew ety nimazoezi ndio najiuliza naombeni ushauli
Anasiri zangu za ndani za ndani za chumbani na friji lake halijui kugandisha naizo siri nyeti jamanii so zakuweka azarani ivyo nkishindwa kuomba msamaha vyote anavivujisha licha ya ufundi mwingi hadi mikongo na badoakaenda kwa lafiki yang mwenzangu kampakia mkologo na jina kaseviwa tam yangu…yani katembea nalafiki yang kipeenzi ila sijajionea nimezifumania mesege ushaidi wa mesji bado hautoshi nmezikuta zana nyuma ya kabati ndani zna vitu avi elezeki ila ukimimina viko kama Daaah katembea nalafiki yang kipeenzi ila sijajionea nimezifumania mesege ndiomaana naombeni ushauri yakwamba niachane nae au niombe msamaha nishaurini yeanavosema walifanya kidogo na walivyo tokwa jasho wakapumzika usiniulize nin wew et mazoezi ndo nawauliza naombeni ushauri
Written by: Jackson Hanstony
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...