Lyrics

Penye nia panafaa kuwa na njia Hapa iko nia but manjia zimefungwa na curfew Na by the time jua inatokea Two billion imeshapotea Watu wako hopeless, bila IG tuko jobless Mtoto ni mzazi atalea Ama msanii ndio ataambiwa lazima akasafishe content 2022 hatutaki tricks, na ugali wanabonya tunataka piece Gang signs za ma-YOLO na tuko hapa East Lunch time after kikoro na ka-Japanese Unaenda lap, naenda biz Mindset nisha-lock, success iko na keys Fame iko na pressure, fam iko na needs Kwenu kunanyesha, kwetu kuna trees Shit, hii shit saa ni do or die Hii rap ndio inafungua milango, itafungua za Lambo' Iko so close naeza ionja Na hio taste ni familiar ka kuchonga, nishakushow Nina kismat, mi walahi, najichocha Jah Jah, najua size ile inanitosha Niko hapa nakungoja, ni ka Pep ndio kocha Nimeingia hii mwaka na goals, uh Siku hizi sikai ka na-doze Mi ni sniper na flows mingi, stylе na ma-pose Nyi ni ma-customer, uh, uh, uh Na-try ku-stack hio bread, I need a slicе of that loaf Watu si-like ni ma-toast, kitu si-like ni kuwa broke, uh Jiji imejaa mapinji, but si lazima ukuwe pinji ndio u-make it Na nimekam kui-prove, ngoja ucheki Bado na-improve, ni vile tu leo mnajifanya ni ka hamnijui Kesho mtanitafuta ka P2 We uko mtaani, si hapa kazi tu Hii ni Ukoo flani, iko na Calif juu Ka nitakuwa nimewacha ku-rap Jua nitakuwa mahali na-try bado kununua Bentley Kwa show nawacha watu waki-clap After, niko mahali na-relax nikiziseti Nusu kilo kwa dash, hio nusu ingine ni tax in Fifty percent ilikuja, nikashika bag Bila vijiti ama mbegu, hio ingine nikaweka kwa benki Queue ya mashida iko na watu wengi Queue ya kushinda ni ka ya kudenki Queen ana figure na sura fine, thank you "Shin huwanga stima, wah, kudadadeki" Mi naua keeper, nakufa na beki Nina uhakika, nitashika senti Nani anasema siwezi, na-feel ka Ogada ama Messi Nimeingia hii mwaka na goals Yeah Nimeingia hii mwaka na goals Siku hizi sikai ka na-doze Mi ni sniper na flows mingi, style na ma-pose Nyi ni ma-customer, uh, uh, uh Na-try ku-stack hio bread, need a slice of that loaf Watu si-like ni ma-toast, kitu si-like ni kuwa broke, uh I keep my eyes open, never let the other side know So we never (never know, never know, never) Show emotion, oh (never know, never know, never know)
Writer(s): Nyamari Ongegu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out