Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Killy Tz
Killy Tz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Killy
Killy
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Terriyo Monster
Terriyo Monster
Producer

Lyrics

Watoto wa jangwani;
Intro; oooooooooooh ooh ooh,
hii hapa sauti ya fundi Yeiiyeeii mtoto wa jangwani
Woyooooo,woyo yo yo yooo
Woyo yo yo yooo,woyo yo yo yooo
Woyooooo ooh oooooh,woyo yo yo yooo.
Woyo yo yo yooo,woyo yo yo yooo
Woyooooo,woyo yo yo yooo
Woyo yo yo yooo,woyo yo yo yooo
Woyooooo ooh oooooh,woyo yo yo yooo
Woyo yo yo yooo,woyo yo yo yooo
Mtachinja ng’ombe mbwaa,muifunge jangwani
Mtapiga kelele zote,si ndio number one
Yanga hatuuzi sura,tukiwa uwanjani wao wakipiga kelele si magoli nyavuni oooh…!! Aah..!!
Sifa za watoto wa jangwani usisimuliwe uliza hata kwa majirani tafadhali tafadhali
Eti Manara kuondoka Yanga (huo uongooo)
Eti bila Nabi ubingwa kwa bomba(huo uongooo)
Privaldinho mjuaji sana (huo uongooo)
Ali Kamwe kwenda kwa makolo (huo uongooo)
Engineer waambie watoto wadogo wafunge midomo, tupeleke GSM tuondoke
Mbona wamedoda na nguvu zao za soda,mbona wamedoda na nguvu zao za soda
Wameinama,wameinuka wameokota kidude (wameinama wameinuka wameokota kidude)
Wameinama wameinuka wameokota kidude(wameinama,wameinuka wameokota kidude)
Wameinama,wameinuka wameokota kidude (wameinama wameinuka wameokota kidude)
Wameinama wameinuka wameokota kidude(wameinama,wameinuka wameokota kidude)
WANANCHIIIIIIIIIIIIII
Haya timua vumbi timua vumbi timua vumbi timua we kama mtoto wa jangwani timua vumbi timua,timua vumbi timua vumbi timua vumbi timua we kama mtoto wa jangwani timua vumbi timua
Woyooooo,woyo yo yo yooo
Woyo yo yo yooo,woyo yo yo yooo
Woyooooo ooh oooooh,woyo yo yo yooo.
Woyo yo yo yooo,woyo yo yo yooo
Woyooooo,woyo yo yo yooo…!!
Woyo yo yo yooo,woyo yo yo yooo….!!
BRIDGE;
Terriyo Monster mfikishie salamu zangu Iddi Classic mwambie ndo kwanza tunaanza
Chama letu kubwa yanga damu damu eeeh…!!
Waambie makolo wawe na nidhamu eeeh…!!
(Chama letu kubwa yanga damu damu eeh..!!,waambie makolo wawe na nidhamu eeh..!!)
Eti makolo wapewe mbeleko (wayabebe magoli)
Wapinzani wapewe mbeleko (wayabebe magoli)
Daima mbele kwetu nyuma mwiko (wazee wa magoli)
Makolo wabebe mbeleko (wayabebe magoli)
Wapinzani wapewe mbeleko (wayabebe magoli)
Written by: Killy
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...