Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Jaivah
Jaivah
Lead Vocals
Marioo
Marioo
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Jaivah
Jaivah
Songwriter
Omary Ally Mwanga
Omary Ally Mwanga
Songwriter

Lyrics

Aah Uyasbona Siyenzani Awee, Aweee Awee, Aweee Awee, Aweee Awee, Aweee Na kila siku mnaniona natafuta Na mnapiga majungu Napigwa jua mchana kutwa Usiku kucha,nasebenza Sebenza, Sebenza Na kila siku mnaniona natafuta Nyie mnapiga majungu Napigwa jua mchana kutwa Usiku kucha,nasebenza Sebenza, Sebenza Sasa acha nijipooze niponde mali Acha nijipooze nigonge glass Acha nienjoy nimetoka mbali Na ukiniona pita kwa mbali Sasa acha nijipooze niponde mali Acha nijipooze nigonge glass Acha nienjoy nimetoka mbali Na ukiniona pita kwa mbali Nasema tena pita kule Pita pita pita pita pita Pita kule Eish Oya pita kule Pita pita pita pita pita Pita kule Eeh Nasema pita kule Pita pita pita pita pita Pita kule Eish Oya pita kule Pita pita pita pita pita Pita kule Wonke umuntu ithi Jaivah.,Jaivah Ithi Jaivah, Jaivah Cula nami ithi Jaivah, Jaivah Ithi Jaivah, Jaivah Everybody say Jaivah, Jaivah Say Jaivah, Jaivah Watu wote sema Jaivah, Jaivah Jaivah, Jaivah Mmmmmmh aaaah Ayayaya aaah Mmmmh aaah Ayayaya aaah Mmh Aah Ayayaya aaah Mmmmh aaah Ayayaya aaaah Alooooooh!! Mmmh, Shiiih Awee kulanina We si unanisema vibaya kulanina Aah si unasemaga hunipendi kulanina Sa mbona ukiniona unagwaya kulanina Unang'ata unapuliza ndio kumaanisha nini Ama unataka chapati (ama unataka chapati) Ama unataka wolololoooh (ama unataka wolololo) Ama unataka kutrend (ama unataka kutrend) Ama unataka wolololoooh (ama unataka wolololo) Yani kama utani tena nje ndani ukicheka na Nyani Mbona anakutoa roho Oh, oh, oh Atakutoa roho Yani kama utani tena nje ndani ukicheka na Nyani Mbona anakutoa roho Oh, oh, oh Atakutoa roho Nasema tena pita kule Pita pita pita pita pita Pita kule Eish Oya pita kule Pita pita pita pita pita Pita kule Nasema tena pita kule Pita pita pita pita pita Pita kule Eish Oya pita kule Pita pita pita pita pita Pita kule Ithi Jaivah, Jaivah Cula nami ithi Jaivah, Jaivah Ithi Jaivah, Jaivah Everybody say Jaivah, Jaivah Say Jaivah, Jaivah Watu wote sema Jaivah, Jaivah Jaivah, Jaivah Shiiih Yani kama utani Tena nje ndani Ukicheka na Nyani Mbona atakutoa roho Oh, oh, oh Atakutoa roho Yani kama utani Tena nje ndani Ukicheka na Nyani Mbona atakutoa roho Oh, oh, oh Atakutoa roho
Writer(s): Jaivah, Omary Ally Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out