album cover
Katika
album cover
Katika was released on August 18, 2023 by Hornsphere as a part of the album Fomation
ReleasedAugust 18, 2023
LabelHornsphere
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Verse 1]
Talk is cheap, lakini bado najibonga
Roho yangu inagonga, nikikuona ukisongaa
Aiih yawa yawa freeze
Picha mi sitachoma, niko na diploma
Juu baby mi nishakusoma
Aiih yawa
[PreChorus]
Atoti wang'eler chal masiwa
Aki umebarikiwa, uwe wangu majaliwa
Kila unataka utafanyiwa
Atoti wang'e ler chal masiwa
Aki umebarikiwa, uwe wangu majaliwa
Kila unataka utafanyiwa
[Chorus]
Oh baby kata, kata
Kata usiogope we kata
Kata-a kata
Sikuachi mi nakufuata
Oh baby kata, kata
Kata usiogope we kata
Kata-a kata
Sikuachi mi nakufuata
[Verse 2]
All I ever want is you
Napenda sana ukiwa karibu
Iwe mchana ama usiku
And if you call me girl I’m coming through
[Verse 3]
Tryna love you in a different style I’m sweating
It's been a while I'm sweating
When I see you smile I loose my mind
Walahi you’re a blessing
[PreChorus]
Atoti wang'eler chal masiwa
Aki umebarikiwa, uwe wangu majaliwa
Kila unataka utapatiwa
Wang'e ler chal masiwa
Aki umebarikiwa, uwe wangu majaliwa
Kila unataka utapatiwa
[Chorus]
So baby kata, kata
Kata usiogope we kata
Oh baby kata-a kata
Sikuachi mi nakufuata
Oh baby kata, kata
Sikuachi mi nakufuata
Oh baby kata, kata
Sikuachi mi nakufuata
[Outro]
Mi hukua mafeelings yeah-yeah mafeelings
Tukiwa wawili yeah-yeah wawili
Mi hukua mafeelings yeah-yeah mafeelings
Tukiwa wawili
Kama ndege nafly, nimependa malaika-a
Written by: Danson Rabuka, Denilson Babu, Eric Kimaru, Israel Onyach, Peter King'ori, Ywaya Tajiri
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...