album cover
Kipepeo
36
Afro-Pop
Kipepeo was released on August 20, 2023 by 5455727 Records DK as a part of the album Kipepeo - Single
album cover
Release DateAugust 20, 2023
Label5455727 Records DK
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM96

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Said Major Juma
Said Major Juma
Songwriter

Lyrics

Kipe kipepeo
Nikiwa nawe nawa kipepeo
Nipee nipe Leo
Siwezi ngoja kesho nipeleo
Napenda umbo Lako maashaAllah
Unapendeza mamaa
Niukweli siwezi danganya
Unanichanganya
Napenda umbo Lako maashaAllah (Yeyeyeye)
Unapendeza mamaa
Niukweli siwezi danganya (heeee)
Unanichanganya
Kipe kipepeo
Nikiwa nawe nawa kipepeo
Nipee nipe Leo
Siwezi ngoja kesho nipeleo
Kipe kipepeo
Nikiwa nawe nawa kipepeo
Nipee nipe Leo
Siwezi ngoja kesho nipeleo
Nimepagawaa, nimepagawaa na wewe
Nimepagawaa, nimepagawaa na wewe
Nimepagawaa, nimepagawaa na wewe
Nimepagawaa, nimepagawaa na wewe
Beautiful baby
Furaha nikiwa nawe daily
Mrembo wa ukweli
Ukiniacha nitafeli
Sweety my sherry
Nyako maber aheri
Nakupenda kweli
Nyako maber aheri
Kipe kipepeo
Nikiwa nawe nawa kipepeo
Nipee nipe Leo
Siwezi ngoja kesho nipeleo
Kipe kipepeo
Nikiwa nawe nawa kipepeo
Nipee nipe Leo
Siwezi ngoja kesho nipeleo
Nimepagawaa, nimepagawaa na wewe
Nimepagawaa, nimepagawaa na wewe
Nimepagawaa, nimepagawaa na wewe
Nimepagawaa, nimepagawaa na wewe
Nimekuweka ndani kwa yangu roho
Na bay kukutoa moyoni nooo
Minataka mapenzi nipe more
Mara nishaa pagawaaa
Nimekuweka ndani kwa yangu roho
Na bay kukutoa moyoni nooo
Minataka mapenzi nipe more
Mara nishaa pagawaaa
Nimepagawaa, nimepagawaa na wewe
Nimepagawaa, nimepagawaa na wewe
Nimepagawaa, nimepagawaa na wewe
Nimepagawaa, nimepagawaa na wewe
Kipe kipepeo
Nikiwa nawe nawa kipepeo
Nipee nipe Leo
Siwezi ngoja kesho nipeleo
Kipe kipepeo
Nikiwa nawe nawa kipepeo
Nipee nipe Leo
Siwezi ngoja kesho nipeleo.
Written by: Said Major Juma
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...