Credits
PERFORMING ARTISTS
Analo Kanga
Performer
Hornsphere
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Analo Kanga
Songwriter
Lyrics
[Verse 1]
Chai ya saa kumi, twapitisha kwa kichungi
Tumeketi sebuleni, mabinti twatambua
Chai ya saa kumi, twapitisha kwa kichungi
Tumeketi sebuleni, mabinti twatambua
[Verse 2]
Wanadai hawa nani, ati airetu a nairofi
Wasengenya ndanindani, mabinti twatambua
Wanadai hawa nani, ati airetu a nairofi
Wasengenya ndanindani, mabinti twatambua
[PreChorus]
My sistaz and I we are divas
The style is eclectic, the mood is magnetic
My sistaz and I we are divas
The style is eclectic, the mood is magnetic
[Chorus]
Warembo kama sisi twapenda rhumba
Warembo kama sisi twapenda rhumba
Warembo kama sisi twapenda rhumba
Warembo kama sisi twapenda rhumba
Warembo kama sisi twapenda rhumba
Warembo kama sisi twapenda rhumba
Warembo kama sisi twapenda rhumba
Warembo kama sisi twapenda rhumba
[Verse 3]
Tega skio lako, watazame tu kwa macho
Hii mziki i ndani yao, mabinti twatambua
Tega skio lako, watazame tu kwa macho
Hii mziki i ndani yao, mabinti twatambua
[Verse 4]
The girls are looking pretty, you can tell that they've been ready
Wanatesa bila worry, mabinti twatambua
The girls are looking pretty, you can tell that they've been ready
Wanatesa bila worry, mabinti twatambua
[PreChorus]
My sistaz and I we are divas
The style is eclectic, the mood is magnetic
My sistaz and I we are divas
The style is eclectic, the mood is magnetic
[Chorus]
Warembo kama sisi twapenda rhumba
Warembo kama sisi twapenda rhumba
Warembo kama sisi twapenda rhumba
Warembo kama sisi twapenda rhumba
Warembo kama sisi twapenda rhumba
Warembo kama sisi twapenda rhumba
Warembo kama sisi twapenda rhumba
Warembo kama sisi twapenda rhumba
[Outro]
Can you tell now here at this juncture
It’s a fine girl mantra
Mhhm! it's a genre
Can you tell now here at this juncture
It's a fine girl mantra
Mhhm! it's a genre
Written by: Analo Kanga