album cover
Moyo
268
Christian & Gospel
Moyo was released on August 25, 2023 by Kelsy Kerubo as a part of the album Moyo - Single
album cover
Release DateAugust 25, 2023
LabelKelsy Kerubo
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM88

Credits

PERFORMING ARTISTS
Kelsy Kerubo
Kelsy Kerubo
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Lydiah Okerosi
Lydiah Okerosi
Songwriter

Lyrics

Mmmmm
Moyo mbona unaumia
Moyo ukikosa unavyotaka
Moyo mbona unaumia
Moyo ukikosa unavyotaka
Moyo wangu umebeba mengi mbona unajitesa
Moyo wangu mengine siwezi mbona unanitesa
Mara maisha mara mapenzi moyo unajitesa
Maisha hayo mimi siyawezi ni mungu ataniwezesha
Kuna wakati nakupambania (aaaa aaaaa)
Upate raha
Na mimi
Nipate furaha
Najua una hisia
Unasikia moyoo ooooo
Moyooooo ooooo
Moyo tulia moyo
Ya dunia yanapita
Roho utulize moyo
Kuwa mfumilifu
Moyo tulia moyo
Ahadi za mungu ni kweli
Roho hachelewi hakawii utulize moyo
Tulia moyo
Moyo kuwa na subira
Nami niwe salama
Kwani una tamaa sio uvumilivu
Esuubi lili muggwe yesu
Wekuume mutima wange
Nkwagala mutimawangee Eeeeeeee
Moyo wangu umebeba mengi mbona unajitesa
Moyo wangu mengine siwezi mbona unanitesa
Mara maisha mara mapenzi moyo unajitesa
Maisha hayo mimi siyawezi ni mungu ataniwezesha
Moyooo
Moyo moyo tulia moyo
Roho
Roho tuliza wangu moyo
Utulize moyo
Hadikwa maji mengi
Moyo tulia tulia moyo
Usijali moyo wangu ee
Roho utulize moyo
Tulia, moyo moyo wangu ee tulia moyo
Ataponya jeraha, roho huyu yesu utulize moyo
Moyo moyo wangu ee tulia moyo
Simama imara roho moyo wangu ee utulize moyo
Moyo wangu wewe
Usikate tamaaa
Ohh hhhhhh
Written by: Lydiah Okerosi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...