album cover
Nani?
album cover
00:00
00:10
00:15
00:20
00:40
01:05
01:15
01:30
01:40
02:10
02:15
02:25
02:40
03:00
03:10
03:25
03:40
00:00
03:52
Past 7 Days
Nani? was discovered most frequently at around 1 minutes and 15 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

Nampenda mmoja, sitaki mwengine, msiwaze
Namtaka mmoja, simtaki mwengine, msiniwaze
Nalia, nalia, naliaga, akininunia napagawaga
Nalia, nalia, naliaga, akinisusia nachachawaga
Hivi huku ndo wanaitaga kupendana, siwezi kula bila huyu kijana
Hivi haya haya ndo mapenzi, siwezi kulala bila haka kadada
Nampenda mpenda, msichana mmoja, mweupe kidogo, mweusi kidogo
Nampenda mpendaa (Nani?) Msichana mmoja (Nani?), Mweupe kidogo (Nani?) Mweusi kidogo (Nani?)
Hivi huku ndo wanaitaga kupendana, siwezi kula bila huyu kijana
Hivi haya, haya ndo mapenzi, siwezi kulala bila haka kadada
Ananikosha roho
Ananirusha roho
Ananikunakuna
Ananirusha roho
Anavyopita ananukia kama malaika, (Ndo huyo-huyo, huyo shem wenu)
Anavutia kama malaika, (Ndo huyo-huyo, huyo shem wenu)
Hivi huku ndo wanaitaga kupendana, siwezi kula bila huyu kijana
Hivi haya haya ndo mapenzi, siwezi kulala bila huyu kijana
Nampenda mpenda, mkaka mmoja, mweupe kidogo, mweusi kidogo
Nampenda mpendaa (Nani?) Mkaka mmoja (Nani?), Mweupe kidogo (Nani?) Mweusi kidogo (Nani?)
Hivi huku ndo wanaitaga kupendana, siwezi kula bila huyu kijana
Hivi haya, haya ndo mapenzi, siwezi kulala bila huyu kijana
Written by: Omary Ally Mwanga
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...