album cover

Inde (feat. Harmonize)

86,297Afro-Pop2016
album cover
00:00
00:30
00:55
01:00
01:15
01:25
01:40
01:45
02:10
02:40
03:40
00:00
03:52
Past 7 Days
Inde (feat. Harmonize) was discovered most frequently at around 30 seconds into the song during the past week

Lyrics

[Verse 1]
Si sura tu bali shavu na tabia
Alivyobarikiwa ah shallmo na mbivu uh
Ni roho juu, akiniangalia
Ah moyo unatulia, ni uzuri wakaona
[Verse 2]
I say hi, hi kwanza nafurahi
Kabla hujanipa mambo nipe kikombe cha chai
Najidai uku baby haifai, bila shy hi
Mama Lai mwana wa Masaai
[Refrain]
We ni baby bila kipimio, macho mpaka kisingino
Nikumwagilie wino yangu sio mbilikimo
We ni baby bila kipimio, macho mpaka kisingino
Nikumwagilie wino yangu sio mbilikimo
[PreChorus]
Anacheka eh, anacheka
Anadensi eh anadens
Anacheka eh, anacheka
Anadensi eh anadensi
[Chorus]
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde, inde mama
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde, inde mama
[Verse 3]
I say lalalala kiuno chako propeller
Ball yako umeivisha better, uzuri mpaka unakera
In the morning unanipa bila shaka mwingine hapana taka
Kiunoni baby wacha mashaka mie hoi miała inaenda
[Verse 4]
Mwenyewe sioni una utamu wa mata natafuna ninavyotaka
Kiwanja ndani nipatiwe wa Arusha ama twende tukabpo Tabata
[Refrain]
We nipe bila kipimio, macho mpaka kisingino
Nikumwagilie wino yangu sio mbilikimo
We nipe bila kipimio, macho mpaka kisingino
Nikumwagilie wino yangu sio mbilikimo
[PreChorus]
Anacheka eh, anacheka
Anadensi eh anadensi
Anacheka eh, anacheka
Anadensi eh anadens
[Chorus]
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde, inde mama
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde, inde mama
[Bridge]
Mtoto unavyonipamba ninakwisha kabisa
Parara paparira, papa parira
Kama kibogoyo unavyoirambax nabahita kwa visa
Parara paparira, papa parira
[Chorus]
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde, inde mama
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde mama, inde
Inde, inde mama
[Outro]
Waka waka
Waka waka
Waka (Parara paparira)
Waka (Papa parira)
Waka
[Outro]
Waka waka
Waka waka
Waka (Parara paparira)
Waka (Papa parira)
Waka waka waka
Written by: Abdul Sykes, Rajab Abdul Kahali

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...