album cover
Nishaoa
album cover
Nishaoa was released on September 22, 2023 by SOLOH MSOH as a part of the album Nishaoa - Single
September 22, 2023
LabelSOLOH MSOH
BPM179
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Intro
Yeh yeh mmh
Verse
Haujui Uzuri Wa Kitu hadi kipotee
Kwani haujui maisha ni fupi kama likobe
Utajua haujui laumu walio fanya unichoree
Utajua haujui utajua hau-jui juii
Simu za usiku mbona excess
Nishafunga ndoa
Unapiga simu nikiwa na bebs
Nishafunga ndoa
Hakuna uwezekano we kurudiana namii
Mimi nishaoa
Nyumbani, nina wife ,Nyumbani nina wifey
Mimi nishaoa ×2
Si ni wewe,ulinikimbia,
baada ya kunitania
Leo unajijutia
Simu za usiku mbona excess
Nishafunga ndoa
Unapiga simu nikiwa na bebs
Nishafunga ndoa
Hakuna uwezekano we kurudiana namii
Mimi nishaoa
Nyumbani, nina wife ,Nyumbani nina wifey
Mimi nishaoa ×2
Mapenzi ,Mapenzi tam tam
Ukipata anaye kupenda vitam tam
Mapenzi ,Mapenzi tam tam
Ukipata anaye kupenda vitam tam
Hakuna uwezekano we kurudiana namii
Mimi nishaoa
Nyumbani, nina wife ,Nyumbani nina wifey
Mimi nishaoa ×2
Written by: Soloh Msoh

Loading...