album cover
Sonia
691
World
Sonia was released on September 19, 2023 by Nightmare Soundz {Nms } as a part of the album Sonia - Single
album cover
Release DateSeptember 19, 2023
LabelNightmare Soundz {Nms }
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM155

Credits

PERFORMING ARTISTS
KINATA MC
KINATA MC
Performer
COMPOSITION & LYRICS
KINATA MC
KINATA MC
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Eyoo kenny
Eyoo kenny
Producer

Lyrics

Intro
Achaa achaaa chaaaaaa achaaaaa
Mmhmmh talent kinata mcccccccc
Chorus
Sonia ma baby sonia,
Sonia you go far way,
Sonia ma baby soniaaaaaaa,
Sonia umekwenda wapi we we we we!
Vers
Oooh dada uliyoyafanya sio utani umenikoseaa,
Dada uliyoyafanya sio masihara umenionea,
Kuniacha na mtoto bado mdogo na analia,
Na mikojo debe debe tena mimavi amejinyea,
Tena usiku wa manane sonia we umenikimbia,
Mama usiku wa manane sonia wewe!!
Mwenzenu mi nikiita soni, na soni hapatikani ooooh,
Nasema nikiita soni, na soni haonekani oooooh,
Ooooh tena nikiita soni,
Wanangu nikiita soniii
Tamu tamu niliiyona tamu kama tamu tamu,
Tamu tamu nikailamba tamu kama tamu
Tamu,
Sema tamu tamu ililamba tamu kama tamu iyoo,
Tamu tamu kailamba tamu kama tamu
Chorus
Sonia ma baby sonia
Sonia you go far way
Sonia ma baby soniaaaaaa
Sonia umekwenda wapi we we we
Vers
Jamani bibi bibi apewe hakizake
Jamani bibi bibi apewe sifa zake,
Eti sema jamani bibi bibi apewe haki zake
Jamni bibi aaah bibiiiiiiii,
Bibi kamzaa mama kamlea mpaka akakua,
Mama kanizaa mimi na bibi akanichukua,
Bibi kamzaa baba kamlea mpaka akakua,
Baba kanizaa mimi na bibi akanichukua,
Kwaiyoooooooh,nitampeleka kwa bibi yake atalelewa jaliaaaaaaa,
Nasema nitampeleka kwa mama yangu atalelewa jaliaaa, aaaaaah
Nasema nitampeleka kwa bibi yake atalelewa jalia,
Mi nitampeleka kwa bibi yangu atalelewa jaliaaaah aaaah aaaaaah
Tamu tamu niliiyona tamu kama tamu tamu,
Tamu tamu nikailamba tamu kama tamu
Tamu,
Sema tamu tamu ililamba tamu kama tamu iyoo,
Tamu tamu kailamba tamu kama tamu
Asante Asante Asante eeeeeeeeh aaah,
Ebwana mjusi mmoja tu Tanzania kutoka lindi, Dinosour so so sooooooooo
Eyo kenny,
Kenny sikutaji humu ,kenny sikutaji humu,
Namtaja mnyomo tu! ze gang,
watoto wa bad way,
wanangu wa msikiti maringo maringo we santana , wasalimie watoto wa kusini tunafujooooh
Written by: KINATA MC
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...