Credits
PERFORMING ARTISTS
Starboy Singeli
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Starboy Singeli
Songwriter
Lyrics
Intro
Hapa New Voice Starboy Nikiwa Na Tamimu
Verse : 1 Tamimu
Yapata week Sasa Sionekani Sionekani
Viwanja Sionekani Masikani.
Ahaa Yamenikamata Sio Utani
Mwenzenu Nishawaka Niacheni
Kinachonifanya nisionekane
nikobize na mapenzi..x2
nikobize na baby
Nikobize na baby wang.
nikobize na mpenzi
Bridge
Mikwake Nimezama Mwenzenu Ananipa
yotee
miuno miuno.
Nikishika Minyama Napita Kotekote Mpaka Kwenye Mashimo Mashimo.
Chorus:
Ohoo Mwenzenu Sionekani (Nikobize Na Mapenzi)
Nimefungiwa ndani (Nikobize Na Mapenzi)
Ananikanda Ndani (Nikobize Na Mapenzi)
Ohoo (Nikobize Na Mapenzi)
Verse : 2 Starboy Singeli
Ni Balaa Fundi wake somo anamichezo Hatari
Kuzidi Kikomo.
Yani Rahaa Kwa Hivi Vinono Ana Maajabu Mpaka Ugali Nalishwa Kwa Mdomo.
Ahaa Wanangu Msinitafute niko salama
nimefichwa na mapenzi
zile nipe nikupe ndo zimenifanya kua crazy.
Bridge
Mikwake Nimezama Mwenzenu Ananipa
yotee
miuno miuno.
Nikishika Minyama Napita Kotekote Mpaka Kwenye Mashimo Mashimo.
Chorus:
Ohoo Mwenzenu Sionekani (Nikobize Na Mapenzi)
Nimefungiwa ndani (Nikobize Na Mapenzi)
Ananikanda Ndani (Nikobize Na Mapenzi)
Ohoo (Nikobize Na Mapenzi)
Outrol
Eti Kama Unalo Tingisha Usiogope Unaogopa nini we mtoto wa mjini x2
Kadem anatoboa pua we nawe unaogopa nini huo ushamba huo ushamba x2....
Written by: Starboy Singeli