album cover
Size Yako
7,086
Worldbeat
Size Yako was released on September 14, 2024 by Brayban as a part of the album Best of Brayban - EP
album cover
Release DateSeptember 14, 2024
LabelBrayban
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Credits

PERFORMING ARTISTS
Brayban
Brayban
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Brayban
Brayban
Songwriter

Lyrics

[Verse 1]
Baada ya urafiki tukarukia mapenzi
Na kumbe miluzi bado mingi
Hapo ndipo wengi tunaponzwaga na rangi
Hatupati wa kufanana nae eh!
[Verse 2]
Na kumbe mapenzi elimu chuo kikuu kukuu!
Nami nilikuona wewe tu tutu!
Najitutumua tu tu!
Unaning'ong'a kisogo ukiwa na watu
[Verse 3]
Nakuuliza unapiga kifua
Unasema wanakusingizia
Unajiliza au bado hujakuwa
Ila bado nakuombeaga dua
[Verse 4]
Unalipuuka ka moto wa kibua
Ukishalewa unanibaniaga pua
Unanianika utasema umenifua
Au ndo vile unajikuta wa kishua
[Chorus]
Unawaambia (Mi sio size yako)
Mara ooh (Mi sio type yako)
Unawaambia (Mi sio size yako)
Mara ooh (Mi sio type yako)
Unawaambia (Mi sio size yako)
Mara ooh (Mi sio type yako)
Unawaambia (Mi sio size yako)
Mara ooh (Mi sio type yako)
[Verse 5]
Najua sio dawa kulalamika
Na ndomana mabaya sikuandika
Nataka uhakika wa mapenzi yangu
Mwenzangu nilimeza sikutapika
[Refrain]
Unanishushua (Shuu-shuu)
Mtaani vuvuzela (Vuu-vuu)
Maneno mfululu (Fuu-fuu)
Yananifikia fikaa
[Verse 6]
Nakuuliza unapiga kifua
Unasema wanakusingizia
Unajiliza au bado hujakuwa
Ila bado nakuombeaga dua
[Verse 7]
Unalipuuka ka moto wa kibua
Ukishalewa unanibaniaga pua
Unanianika utasema umenifua
Au ndo vile unajikuta wa kishua
[Chorus]
Unawaambia (Mi sio size yako)
Mara ooh (Mi sio type yako)
Unawaambia (Mi sio size yako)
Mara ooh (Mi sio type yako)
[Chorus]
Unawaambia (Mi sio size yako)
Mara ooh (Mi sio type yako)
Unawaambia (Mi sio size yako)
Mara ooh (Mi sio type yako)
Written by: Prince brayban
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...