album cover
Jioni
album cover
Jioni was released on October 12, 2023 by WBOK as a part of the album Jioni - Single
ReleasedOctober 12, 2023
LabelWBOK
LanguageEnglish
BPM87
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Verse 1]
Mi hupenda niwe nawe
Kando yangu tu
Siku huenda pole pole usipo karibu
Niambie
Nini haiwezekani
Bora niwe
Nawe niko nyumbani
[PreChorus]
Hakika kila saa nitakuchagua wewe wajua
Hakika wanifaa wewe wajua wewe wajua
Navyo kupenda
Huongezeka zaidi kila jioni
Navyokupenda
Huongezeka zaidi kila jioni
[Chorus]
Jioni jioni
Jioni kila jioni
Jioni jioni
Jioni kila jioni
[Verse 2]
Me hujipata
Asubuhi nakuwaza
Juu ni we wanituliza
Kila kona nakuona kuona
[PreChorus]
Hakika kila saa nitakuchagua wewe wajua
Hakika wanifaa wewe wajua wewe wajua
Navyokupenda
Huongezeka zaidi kila jioni
Navyokupenda
Huongezeka zaidi kila jioni
[Chorus]
Jioni jioni
Jioni kila jioni
Jioni jioni
Jioni kila jioni
[Outro]
Jioni
This is Hendrick's Sam
Kila jioni
Oooh jioni kila jioni
Zaidi kila jioni
Jioni
Hakika kila saa nitakuchagua wewe wajua
Hakika wanifaa wewe wajua
Written by: Ethan Muziki, KINOTI KINYUA
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...