Lyrics

Temperature, ati cough my pullover Temperature, anidice cool over Masafara, ayaya hatukosi raha ayayaya Masagara, ayaya hatukosi raha ayayaya Meli inazama Leo ni siku ya kiama Hah, weka lawama Napenda wasichana Hah, Mr. police man si uniarrest Leo niko matire natoa vest Nani na nina guests mwenye ntataste Leo tunawezana uko the same ah Mia ki vulai, astela vista Sherehe leo nakuja na your sister Na usikose zo sativa Dj lipua maspeaker Temperature, ati cough my pullover Temperature, anidice cool over Masafara, ayaya hatukosi raha ayayaya Masagara, ayaya hatukosi raha ayayaya Wibo, wabo Wibo wabo wibo wabo wibo Nikona two fifty na ni two fifty Na nadai kuenda bash ya watu fifty Change ya soo soo nadai ikue ni two fifties Ndani ya mat saa ya fare nikona two fiftys Comme ci comme ca Nyi mnaskizwa na ma oga tu wa Roysa Basi kula tu za macho kama bouncer Kula moto utoke jasho mpaka na usa Temperature, ati cough my pullover Temperature, anidice cool over Masafara, ayaya hatukosi raha ayayaya Masagara, ayaya hatukosi raha ayayaya Kwa majina niite brother Linda Always on top kama nyama pma Hwa sisemi bye bye juu unaringa Me ni type premiere league we la liga Alafu bafu leo ni chafu Me ni star boy sitaki leo managu Me ni boyz tumove tu leo na subaru Peep peep honi ni ya mambaru Abnormal people we ni mkono Me ni mkonde lakini mfuko nono Common fisi vitu paranormal Tumebond tumetoka bondo Temperature, adi cough my pullover Temperature, anidice cool over Masafara, ayaya hatukosi raha ayayaya Masagara, ayaya hatukosi raha ayayaya
Writer(s): Tony Kinyanjui Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out