album cover
Dorime
album cover
Dorime was released on November 10, 2023 by Waka Music Limited as a part of the album Dorime - Single
November 10, 2023
LabelWaka Music Limited
BPM109
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

[Intro]
Dorime Dorime
Dorime Dorime
[PreChorus]
Ukunifundisha kutafuta
Utanifundishaje kutumia
Shenzi mwaga Hennessy kudadadeki
Leo pesa imekosea njia
[Chorus]
Oyaa! Kwa ma beach boy, pesa imekosea njia
Oyaa! Kwa ma beach boy pesa imejichanganya leo
Leo bill nalipa mimi pesa imeyatimba
Oya kwa ma beach boy pesa imejichanganya leo
[Verse 1]
Beer kikikii kii
Shisha pupupu puh!
We umelewa mimi sijalewa
Ongeza kikiki kiih!
[Verse 2]
Punguza ushauri watu tuna plan zetu
Eti nyumba utajenga lini? Acha shobo sio shida zetu
[Refrain]
Bro kama una mshangazi wako ila hauna pesa (Umekula hasara)
Dada kama kweli una mubaba ila akutunzi (Umekula hasara)
Kama nyuma una kashape ila uko single (Umekula hasara)
Na kama kwenye bed ulimpa yote na umeachwa (Umekula hasara)
[Chorus]
Ukunifundisha kutafuta
Utanifundishaje kutumia
Shenzi mwaga Hennessy kudadadeki leo pesa imekosea njia
Oyaa! Kwa ma beach boy pesa imekosea njia
Oyaa! Kwa ma beach boy pesa imejichanganya leo
Leo bill nalipa mimi pesa imeyatimba
Oyaa! Kwa ma beach boy pesa imekosea njia
[Bridge]
Napenda kikikii kii
Zebu tingisha hilo titbit tiih
Unanipenda un'agenda pesa
Unataka tu gwiji gwiji
[PreChorus]
Heeh, acha shobo bana ukihitajika utaitwa
Au mwenzetu una pepo la safari wewe hujaitwa ushaitika
[PreChorus]
Kama una mshangazi wako ila hauna pesa (Umekula hasara)
Dada kama kweli una mubaba ila akutunzi (Umekula hasara)
Nyuma una kashape ila uko single (Umekula hasara)
Nakama kwenye bed ulimpa yote na umeachwa (Umekula hasara)
Ukunifundisha kutafuta, utanifundishaje kutumia
Shenzi mwaga Hennessy kudadadeki
Leo pesa imekosea njia
[Chorus]
Oyaa! Kwa ma beach boy, pesa imekosea njia
Oyaa! Kwa ma beach boy pesa imejichanganya leo
Leo bill nalipa mimi pesa imeyatimba
Oya kwa ma beach boy pesa imejichanganya leo
Written by: Mwarami kajonje, Twarha Kanengo

Loading...