album cover
Kunoma
654
Hip-Hop/Rap
Kunoma was released on December 22, 2023 by Universal Music Kenya Limited as a part of the album Confidence
album cover
Release DateDecember 22, 2023
LabelUniversal Music Kenya Limited
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ethic Entertainment
Ethic Entertainment
Performer
Peter Njau Kinya
Peter Njau Kinya
Vocals
Leroy Miwa Ouma
Leroy Miwa Ouma
Vocals
Boniface Mwangi
Boniface Mwangi
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Peter Njau Kinya
Peter Njau Kinya
Songwriter
Leroy Miwa Ouma
Leroy Miwa Ouma
Songwriter
Boniface Mwangi
Boniface Mwangi
Songwriter
Vic West
Vic West
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Vic West
Vic West
Co-Producer
B.R.I.M.M.
B.R.I.M.M.
Producer
Brimm
Brimm
Producer

Lyrics

[PreChorus]
Shule nimesoma, Mungu nimeomba
Kazi nimesaka, wengi nimehonga
Usipojipanga issa inasonga, kaza kamba uku nje ni kunoma
[Chorus]
Ni kugwan uku nje ni kunoma, bila ma papers (Ni kunoma)
Ni kunoma uku nje ni kuwagwan bila connections (Ni kuwagwan)
Ni kugwan uku nje ni kunoma, bila ma papers (Ni kunoma)
Ni kunoma uku nje ni kuwagwan bila connections (Ni kuwagwan)
[Verse 1]
Uku inje nkunoma nikaa ukona njaa
Kwa njuguu ya starehee (Ni kuwagwan)
Sikuraisi rudi kwa tumbo ya mamako ka we mraisi
Usingizi ni expensive mbaya
[Verse 2]
Nkona degree na hata sina kazi
Ningekua dingo ngeanza kuwapona
Ju uku inje waaalae nkunoma
[Verse 3]
Ii kesi ishakua ngumu
Kiwete ameteka bibi ya kipofu
Alafu upate aty bubu ndo ameona (Nikunoma)
Nko ju ya dimanga
Nang'ang'ana kutoboa wakibongah
Wakibanja wasoroo wakibanja
Niko machoche nasaka io mkwanja
Wakibanja wasoroo wakibanja
Niko machoche nasaka io mkwanja
[Verse 4]
Shule nimesoma, Mungu nimeomba
Kazi nimesaka, wengi nimehonga
Usipojipanga issa inasonga
Kaza kamba uku nje ni kunoma
[Chorus]
Ni kugwan uku nje ni kunoma, bila ma papers (Ni kunoma)
Ni kunoma uku nje ni kuwagwan bila connections (Ni kuwagwan)
Ni kugwan uku nje ni kunoma, bila ma papers (Ni kunoma)
Ni kunoma uku nje ni kuwagwan bila connections (Ni kuwagwan)
[Bridge]
Kazi ninaifanya inanimaliza (Noma)
Msupa nilimarry ndo anitulize
Lakini ananitry anataka kunkalia (Noma)
Nimelepa rent ata sijarest
Matha nilikopa ashanipigia (Noma)
Teacher ananicall mtoto anataka doo ya trip
[Verse 5]
Nilikunyawa keg nkaimaliza wooi
Nikunoma, nikuwagwan
Si ni funny unadhani ni na ganji juu ya vile nimecladi na vile nimesota (Noma)
Si ni funny unaniomba tu za chaii
Na pia me sina kazi ni gari me uosha
[PreChorus]
Shule nimesoma, Mungu nimeomba
Kazi nimesaka, wengi nimehonga
Usipojipanga issa inasonga
Kaza kamba uku nje ni kunoma
[Chorus]
Ni kugwan uku nje ni kunoma, bila ma papers (Ni kunoma)
Ni kunoma uku nje ni kuwagwan bila connections (Ni kuwagwan)
Ni kugwan uku nje ni kunoma, bila ma papers (Ni kunoma)
Ni kunoma uku nje ni kuwagwan bila connections (Ni kuwagwan)
Written by: Boniface Mwangi, Leroy Miwa Ouma, Peter Njau Kinya, Vic West
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...