album cover
Blacklist
album cover
Blacklist was released on December 15, 2023 by Unique Tz as a part of the album Blacklist - Single
December 15, 2023
LabelUnique Tz
BPM173
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Wimbo#Blacklist
Verse 1
Mwanamke huaakipenda kweli,
Hakuombi hela hakuombi vocha,
Simu anakupigiaga kila dakika,
Hupokei unamuona rofaa.
Acha nikupe sirii,anakupenda kwel sikatai,
Siku akisema basi kutoka moyoni mbona utafurahi,
Hivi tunavyoongea, amenibracklist hataki ata kuniona ,
Mengi najitetea, ananiblue tik meseji akizisoma,
Moyo umejaa sumu naikosa funguo,
Machozi yanitiririka Hadi kwanguo,
Kila nikipiga unanichuniaga mwenzio,
Moyo unaniumagaa.
Chorus 1
re do me pyaar hai, re do me pyaar hai
re do me pyaar hai, re do me pyaar hai
Verse 2
Mara nasikia fununu yule rafiki yangu,
Tulopendana sana leo ndoanae nigongea,
Nafanya vitu vingi najipitisha kwenu,
Hata kazini kwako sometimes natokea.
Nakuta upo bize bize hutaki ata nitazama,
Natamani nkujuze juze hata kwa macho ukinitazama,
Ukinitazama jamaa.
Hivi tunavyoongea, amenibracklist hataki ata kuniona ,
Mengi najitetea, ananiblue tik meseji akizisoma,
Moyo umejaa sumu naikosa funguo,
Machozi yanitiririka Hadi kwanguo,
Kila nikipiga unanichuniaga mwenzio,
Moyo unaniumagaa.
Chorus 2
re do me pyaar hai, re do me pyaar hai
re do me pyaar hai, re do me pyaar hai
Written by: John Michael

Loading...