album cover
Ng'aring'ari
142
Afro-Beat
Ng'aring'ari was released on July 10, 2026 by 13184044 Records DK as a part of the album BACK AGAIN
album cover
Release DateJuly 10, 2026
Label13184044 Records DK
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM89

Lyrics

Ooo ooooooo asalale salable eee
Nilitafutaa Nyota ile ee
Nimeipata aa nitulieee
Sitii chumvi maji baridi eti radha ikolee
Me Naturally maji ya bahari
Kwenye chumvi niogelee
Usiwe mkaali Nikosapo Darling Maapenzii niongeze
Asali kwa asali Utamu asili Kwenye chumvi niogelee
Kama radhaa Radha Vanillah Rangi ya kupendeeza Pink gauni valiaaa
Kama Radha Radha Vanillah Rangi ya kupendeeza Pink Gauni valiaaa
Ng\'aring\'ari Ng\'aring\'ari Ng\'aring\'ari Ng\'aring\'ari Unang\'aa
Nami kwako nimekubalii Wee kifaa
Ng\'aring\'ari Ng\'aring\'ari Ng\'aring\'ari Ng\'aring\'ari Unang\'aa
Nami kwako nimekubalii Wee kifaa
Kama jahazii Lielee Mahari nzimaa
Ushanipa chanse Ng\'aring\'ari Ng\'aring\'ari nalionaa
Kwako nshazama mazimaa Maziimaaa Mazimaa
Kama sumu usinipe maziwaa Maziwa aa maziwaa
Kama Radha Radha Vanillah Rangi ya kupendeeza Pink Gauni valiaa
Kama Radha Radha Vanillah Rangi ya kupendeeza Pink Gauni valiaa
Ng\'aring\'ari Ng\'aring\'ari
Ng\'aring\'ari Ng\'aring\'ari unang\'aa
Nami kwako nimekubali wee kifaa
Ng\'aring\'ari Ng\'aring\'ari
Ng\'aring\'ari Ng\'aring\'ari unang\'aa
Nami kwako nimekubali wee kifaa
Written by: Shaky Bye
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...