Lyrics

Yeah skiza (Magi Magi) Skiza (Magi Magi) Skiza (Magi Magi) Napenda ukismile my baby you're so fine Unakuwanga umenimaliza mimi so why lie Nachanganya Kikuyu Kilami ndo niko shy Si tupige moshi mbili after hapo utakuwa high Ati! Ni ngoma zangu tu Ndo zinafanya askie fine Ni ngoma zangu tu Ndo anapitisha nazo time Ni ngoma zangu tu Ndo zinafanya askie fiti Na bado ananishow Ana picha yangu kwa kibeti Doba ni kali ndo maana mimi naflex Na siezi ngoja kukuona nikucaress Na hapendi stori kwanza zile za ma ex Nampata wapi tena? Kuna venye nilimess Aah, napendanga vile ukitoka unawamaliza Ah na ni kichwa mbaya Na makali anakutandika ah Ye hupenda moshi Na ndo maana ananitafutanga Na ukija mbaya nakucheka Kwanza zile za ah Ju all along nimekuwa kwa zone Nasakanya maganji manamba ziko kwa phone Zingine zitakubamba zingine zitakuboo Ju kama brick and lace men am back to the bone Napenda ukismile my baby you're so fine Unakuwanga umenimaliza mimi so why lie Nachanganya Kikuyu Kilami ndo niko shy Si tupige moshi mbili after hapo utakuwa high Ati! Ni ngoma zangu tu Ndo zinafanya askie fine Ni ngoma zangu tu Ndo anapitisha nazo time Ni ngoma zangu tu Ndo zinafanya askie fiti Na bado ananishow Ana picha yangu kwa kibeti Napenda ukismile my baby you're so fine Nabaki nikiuliza ni lini utakuwa mine Natamani kubonga na wewe so nipe time Kuna venye utanipenda so keti nikupe vibe Anapenda kujituma manzi ni go-getter Rangi ni ya majuu kila day naget better Hakuna kitu naduu, ka ganji pia naeza leta Natamani kumarry ju ka sura kanameta Na mi silengi kizungu ndo kidogo ngumu But naeza tupa lugha mpaka uskie kizunguzungu Napenda vile ukitoka unawamalizanga Si ufike hivi dakika mbili ubaki umeshangaa Napenda ukismile my baby you're so fine Unakuwanga umenimaliza mimi so why lie Nachanganya Kikuyu Kilami ndo niko shy Si tupige moshi mbili after hapo utakuwa high Ati! Ni ngoma zangu tu Ndo zinafanya askie fine Ni ngoma zangu tu Ndo anapitisha nazo time Ni ngoma zangu tu Ndo zinafanya askie fiti Na bado ananishow Ana picha yangu kwa kibeti
Writer(s): Sean Mwaniki Waweru Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out