Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Bruce africa
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Bruce africa
Songwriter
Bruce Elias Sanane
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
DracoBeatz
Producer
Lyrics
[Verse 1]
Hello
Habari yako vipi unanipata hapo
I know
Ni siku nyingi sana nimetoka kwako
Hello
Mtandao ni Mbovu sikupati hapo
Sogea Kando
[Chorus]
Leo nimekumbuka kile uliniahidi that day
Usiku kucha miaka yotea, akilini mwangu hakipotei
Eti si ni mapacha, kamwe hutoniacha
Gari ikapata pancha, ukaniacha
Mbona uliniacha, mbona uliniacha
[Refrain]
What’s a matter
Why, why, why
Dear Ex
[Verse 2]
Sisemi hivi turudiane no, no (No, no)
Nimekupigia nikupe japo somo
Yale ulotenda, usifanye tena, you go kill somebody
Kuwa chanda chema, kwa ulie mpata jua mtafika mbali
[Chorus]
Leo nimekumbuka kile uliniahidi that day
Usiku kucha miaka yotea, akilini mwangu hakipotei
Eti si ni mapacha, kamwe hutoniacha
Gari ikapata pancha, ukaniacha
Mbona uliniacha, mbona uliniacha
[Refrain]
What’s a matter
Why, why, why
Dear Ex
Written by: Bruce Elias Sanane