album cover
Shukrani
album cover
Shukrani was released on January 21, 2024 by Cor Akim as a part of the album Shukrani - Single
ReleasedJanuary 21, 2024
LabelCor Akim
LanguageEnglish
BPM78
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Kutoka moyoni mwangu, nainua sauti yangu kukuimbia wewe Mungu usiye shindwa
Kutoka moyoni mwangu, nainua sauti yangu kusema asante
Oh tumaini langu nilipokaribia kukata tamaa
Ukasimama na kuongea na dhoruba za maisha yangu
Ukaondoa uzuni ukani jaza na amani yako
Nitalisifu Jina lako milele
Sadaka za shukrani, shukrani,
kwa Mungu asiyeshindwa
Sadaka za shukrani, shukrani,
kwa Mungu ninayempenda
Sadaka za shukrani, shukrani,
kwa Mungu asiyeshindwa
Uhimidiwe uhimidiwe
Sadaka za shukrani, shukrani,
kwa Mungu asiyeshindwa
Sadaka za shukrani, shukrani,
kwa Mungu ninayempenda
Sadaka za shukrani, shukrani,
kwa Mungu asiyeshindwa
Uhimidiwe uhimidiwe
Kwenye Giza za maisha, wewe nuru yangu
Kwenye mlima na mabonde, we u pamaja nami
Nipitapo kati moto sita teketea
Ahadi zako ni ndiyo na amina
Sadaka za shukrani, shukrani,
kwa Mungu asiyeshindwa
Sadaka za shukrani, shukrani,
kwa Mungu ninayempenda
Sadaka za shukrani, shukrani,
kwa Mungu asiyeshindwa
Uhimidiwe uhimidiwe
Sadaka za shukrani, shukrani,
kwa Mungu asiyeshindwa
Sadaka za shukrani, shukrani,
kwa Mungu ninayempenda
Sadaka za shukrani, shukrani,
kwa Mungu asiyeshindwa
Uhimidiwe uhimidiwe
Ulinifuta machozi
Kanipa furahi moyoni
Asante asante asante
Ulinifuta machozi
Kanipa furahi moyoni
Asante asante
Sadaka za shukrani, shukrani,
kwa Mungu asiyeshindwa
Sadaka za shukrani, shukrani,
kwa Mungu ninayempenda
Sadaka za shukrani, shukrani,
kwa Mungu asiyeshindwa
Uhimidiwe uhimidiwe
Sadaka za shukrani, shukrani,
kwa Mungu asiyeshindwa
Sadaka za shukrani, shukrani,
kwa Mungu ninayempenda
Sadaka za shukrani, shukrani,
kwa Mungu asiyeshindwa
Uhimidiwe uhimidiwe
Written by: Cor Akim, Kim
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...