album cover
Slow Motion
8
Afro-Beat
Slow Motion was released on January 6, 2024 by 6286713 Records DK as a part of the album Slow Motion - Single
album cover
Release DateJanuary 6, 2024
Label6286713 Records DK
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM95

Music Video

Music Video

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Suxy
Suxy
Songwriter

Lyrics

Slow motion body so sweety
Na flavor kama pipi
I got some lit na freez na sizi
Amenipa uchizi
Nikisema napenda siangali matendo
Kila mtu anayo msijali hiyo kasolo
Ila nina mpango madili mwenendo
Tukimbizane na muda hayo ni malengo
Upande wa kushoto umejaa na upendo
Sijali hizo skendo zilikuwa zako
Labda ulivuma tuu kama vile upepo
Sauti yenye mwangwi kwangu umeludi ni specila
I like the way you are
Looking good so smart
Your really pretty girl na ninapenda unavyo vaa
Wapi unapo kaa
nini unakula
Sijui chakufanya mwenzako mi nishapenda aaa
Kwamba nakupenda,popote nitakwenda
Tutembee sambamba, kashuka nakitanda
Nafunga na mkanda, mi wako camanda
Wewe nitakulinda,popote unapokwenda
Slow motion body so sweety
Na flavor kama pipi
I got some lit na freez na sizi
Amenipa uchizi
Nimeanzia chini kama maji mtaroni
Sina kitu nitakwambia ukweli wa moyoni
Nafanya muziki nataka uwe shabiki
Kama ukikubali utakuwa umenibaliki
Umchanganya yangu akili
Leo ninaweka wazi kweli nime kili
Kwamwengine kwenda sifikili
Umenichoma mwiba moyo wewe ni pingili
Unangoja nini , tutakuwa lini
Wewe niamini nitakupa hadi pikin
Unapenda mini, jeans imeshika skini
Nikipenda kweli huwanakuwa makini
Usiseme nooo
Nitaumia mnooo
Moyo wangu ooo
Sio kamanguoo
Kila mtu avae mimi kipimo
Kama umekubali nikushike kiunooo
Slow motion body so sweety
Na flavor kama pipi
I got some lit na freez na sizi
Amenipa uchizi
Written by: Sele Suxy
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...