album cover
Lala
27
Music
Lala was released on January 19, 2024 by Deva Apoll as a part of the album Reality - Single
album cover
Release DateJanuary 19, 2024
LabelDeva Apoll
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM104

Credits

PERFORMING ARTISTS
Deva Apoll
Deva Apoll
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Deva Apoll
Deva Apoll
Composer

Lyrics

Shiiih
DTband again
Mmh
Ndio namupenda
Sitaficha sitamwacha no
Mmmh
Ndio tutaenda
Kwa mama na daddy
Wale munao wajuwa
Mujuwe kwamba siko nao
Yani nime amuwa
Uyu ndo nizikwe naye
Uyu njo wangu wa mapenzi ya mungu yeh
Kipenzi changu roho ya yangu eh
Lalalalala
Oh babe
La uhm
Lalala
Honey honey by my side
La cherie
Lalalaah
Kifuwani mwangu
La Mmh
Lalalaaah
Baby tucheze
Homa isha panda
Pandisha kwanza
Kamata baby kamata baby
Shukisha tena pandisha tena
Homa isha panda
Baby tucheze
Homa isha panda
Pandisha kwanza
Kamata baby kamata baby
Shukisha tena pandisha tena
Homa isha panda
Oh my love my baby
My Sweety my honey
My heart my everything
Roho yangu Motema
Mwenyewe kwenye Hii dunia
Aki nigusa na tuliya Mahajabu ndo sababu na mpenda
Anipa asali maziwa uyu mtoto ataniuwa
Mina shindwa pumuwa
Ani beba mbali
Na muimbiya(B.A.B.Y)Baby(L.O.V.E)Love
Uyu njo wangu, wa mapenzi ya mungu yeh
Kipenzi changu roho ya yangu eh
Lalalaah
Oh babe
La uhm
Lalala
Honey honey by my side
La cherie
Lalalaah
Kifuwani mwangu
La Mmh
Lalalaaah
Baby tucheze
Homa isha panda
Pandisha kwanza
Kamata baby kamata baby
Shukisha tena pandisha tena
Homa isha panda
Baby tucheze
Homa isha panda
Pandisha kwanza
Kamata baby kamata baby
Shukisha tena pandisha tena
Homa isha panda
Lalalalala
I need you lalalala
Lalalala
I need you lalalaaah
Lalalalaah
Lala Kifuwani mwangu babe
Lalalalaaah
Mmh
Written by: Deva Apoll
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...