Credits
PERFORMING ARTISTS
Drimo Papi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Moris Mrope
Composer
Lyrics
Mapesa majumba bado sijabarikiwa
Bado namuomba Maulana najua ataniletea vyote
Najua ndo sababu iliofanya akanikimbia mamaa
Akaniachia majeraha mwenyewe akaniacha nisote
Laiti angejua nilivompendaga mee
Angetulia Angetulia kwangu
Maana ningekuwa navyo nsingeshindwa mtimizia jamaa
Ila bado nna imani atarudi tu
Juliana
Oh Juliana
Oh Juliana
Kipi Sikufanya
Juliana
Oh Juliana
Oh Juliana
Unanichanganya
Nikimpigia simu anajifanya hazioni
Message nikituma anajifanya hazioni
Hata nikimpost anaview na sioni
Inaniumizaga
Na kichwa nishakaza anayofanya me sikomi
Leo yupo kidimbwi kesho yupo masion
Naona kashahongwa hadi na ka iphone
Sio kwa anavotamba
Laiti angejua nilivompendaga mee
Angetulia Angetulia kwangu
Maana ningekuwa navyo nsingeshindwa mtimizia jamaa
Ila bado nna imani atarudi tu
Juliana
Oh Juliana
Oh Juliana
Kipi Sikufanya
Juliana
Oh Juliana
Oh Juliana
Unanichanganya
Written by: Moris Mrope