Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Wangechi
Wangechi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Wangechi Waweru
Wangechi Waweru
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Wangechi Waweru
Wangechi Waweru
Producer
KaxiOnTheBeat
KaxiOnTheBeat
Engineer
BCKGRND
BCKGRND
Producer

Lyrics

Na hii ni Zile Zile
Na hii ni Zile Zile
Na hii ni Zile Zile
Na hii ni Zile Zile
Na hii ni
Na hii ni Zile Zile ngwai mihuwai
Na hii ni zile zile pedi anahype
Hii ni zile zinashika kwa umbali
Hii ni zile mafunds zitakubali
Na hii ni Zile Zile ngwai mihuwai
Na hii ni zile zile pedi anahype
Hii ni zile zinashika kwa umbali
Hii ni zile mafunds zitakubali
Hizi ni zile zenye hazikai kama zao
Toka zamani si huzungushanga mazao
Fanya mzing azime ajipate ako zion
Wananizoom wachunguze mzigo is how
Kaa si legit bruh kaa na biz
Ndani ya zipbag cannabis
Utaona ma zigzag utanimiss
Makali mzinga zapa zi
Zinaingia na giz mchana hatufanyi kazi
Wanaulizia gish zama wasipate chance
Zaidi ya muziki zunguka fanya research
Ilibidi nizidi walianza kucheza na cash
Na hii ni Zile Zile ngwai mihuwai
Na hii ni zile zile pedi anahype
Hii ni zile zinashika kwa umbali
Hii ni zile mafunds zitakubali
Na hii ni Zile Zile ngwai mihuwai
Na hii ni zile zile pedi anahype
Hii ni zile zinashika kwa umbali
Hii ni zile mafunds zitakubali
Huwezi nipata zi nabaki kukuwa your fantasy
Mtoto mdogo unanikatia katia kata tenje buda kata sim
Funny **** ushakuwa Churchill?
Huna heshima huna courtesy
Hakuna kitu nimepata free
Kila kitu nimepata fee
Ni ngumu nisote
Nakinda zile ziko potent
Hizi ndio zile hufanya embarambamba ajitupe kwa matope
Na usichoche
Chunga usije kuwa content
Tukirecord tupost it
Hiyo roho mbaya itoke
Zinaingia na giz mchana hatufanyi kazi
Wanaulizia gish zama wasipate chance
Zaidi ya muziki zunguka fanya research
Ilibidi nizidi walianza kucheza na cash
Na hii ni Zile Zile ngwai mihuwai
Na hii ni zile zile pedi anahype
Hii ni zile zinashika kwa umbali
Hii ni zile mafunds zitakubali
Na hii ni Zile Zile ngwai mihuwai
Na hii ni zile zile pedi anahype
Hii ni zile zinashika kwa umbali
Hii ni zile mafunds zitakubali
Written by: Alexander Nance (bckgrnd), Wangechi Waweru
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...