album cover
Afro (Remix)
4,297
Pop
Afro (Remix) was released on January 20, 2025 by Tamasha Corporation Limited as a part of the album Sina Makosa (Remix) - Single
album cover
Release DateJanuary 20, 2025
LabelTamasha Corporation Limited
LanguageEnglish
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM56

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Serah Ke
Serah Ke
Lyrics
Kisii All Stars
Kisii All Stars
Composer

Lyrics

[Verse 1]
Afro Afro mama mtoto wa Sagana eh mama
Salamu zangu nakutumia popote ulipo uzipoke
Salimia ndugu na wazazi wako mama popote walipo Afro
Mimi sijambo lakini mawazo tele moyoni nina wasiwasi iih
Nikukumbuka tulipowachana mara ya mwisho uliniahidi Afro
Tungeonana mapema siku zinapita bibi eeh mbona sikuoni mama
Afro mama, eeh yao mtoto wa Sagana, eeh eeh
Kaa ukumbuke, eeh penzi hugeuka, ah
Leo kwangu kesho kwako, mama eeh utanikumbuka, eeh
[Chorus]
Salimia ndugu na wazazi wako mama eeh popote walipo, Afro
Mimi sijambo lakini mawazo tele moyoni nina wasiwasi, iih
Nikikumbuka tulivyowachana mara ya mwisho uliniahidi, Afro
Tungeonana mapema siku zinapita bibi eeh mbona sikuoni, mama
Afro mama, eeh yao mtoto wa Sagana, eeh eeh
Kaa ukumbuke, eeh penzi hugeuka, ah
Leo kwangu kesho kwako, mama eeh utanikumbuka, eeh
[Verse 2]
Afro wa Kirinyaga, Sagana eeh, eeh
Usiniweke pembeni mama, aah
Ingawa wako wengi wazuri, mami
Lakini nimekuchagua wewe, eeh
Tabia zako sawa na sura yako
Nimeridhika kuwa na wewe, eeh
Sagana unipeleke mama, ah
Nikawaone wazazi wako mama
Na TZ pia tufike mami
Ukawaone baba na mama, eeh
Mengine mengi sisemi mama, aah
Uamuzi nimekuachia wewe, eeh
Mwisho nakuombea salama, Afro
Mpaka siku tutapoonana mami
Written by: Les Wanyika, Msondo Ngoma Music Band
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...