Music Video
Music Video
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mavoicetz
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Abdul issa
Songwriter
Lyrics
Wanangu nimepata demu mama Ntilie
Sina mawazo Tena Sasa njaa kwishinei.
Ubeti wa kwanza
Hii hapa ni kwa wananangu wakuseleleka
Kwa mama ntilieee.twende Sasa.
Tangu nipete demu mama ntilieee.
Maisha yangu yamekua simpo sana.
Natoka kitambi na nenepa.
Mtaani wananiita professor.
Asubuhi supu na chapatii.
Mchana wali kwa mandondo.
Kucheza mbali na mgahawa sitaki
Nimesahau kula Tena makokoo.
Usiku siwazi kwenye pochi anakuja nacho getoo.
Mjini mipango wowooo.
Mjini mipaangooo.
Mjini mipango wowooo.
Kiitikio
Wanangu naseleleka
Kitonga naseleleka
Wanangu na seleleka
Kitonga naseleleka
Ubeti wa pili
Chunga sana mwanangu utauponza wewee.
Mama ntiliee anae mumewe.
Tena mumewe anapiga nondo.
Mtaani kwetu wanamwita Rambo.
Utapigwa mtungo wakupige na picha.
Skuiz hawauwi wanakupaka mafutaaa.
Mama ntilieeee so msosi tu
Sura anayo na nyuma anakijungu.
Najuaaa mbona wivu.
Tayari mshaanza majungu.
Wee shauriako
Huku
.
Mchana wali kwa mandondo.
Kucheza mbali na mgahawa sitaki
Nimesahau kula Tena makokoo.
Usiku siwazi kwenye pochi anakuja nacho getoo.
Mjini mipango wowooo.
Mjini mipaangooo.
Mjini mipango wowooo.
Kiitikio
Wanangu naseleleka
Kitonga naseleleka
Wanangu na seleleka
Kitonga naseleleka
Ubeti wa tatu.
Oya wee kama kataka mwenyew kama vipi pitanae.awe na bwana awe na mumeo tupa kule.
Twende kwa shemeji tulale ubwabwa wa bure.
Selelee seleleka maisha yakikaba mwanangu seleleka.
Selelee seleleka maisha yakikaba mwanangu seleleka.
Oya wahuniii huu ndo mda wakuseleleka Sasa
Twende Sasa selelee seleleka
Maisha yakikaba mwanangu seleleka.
Written by: Abdul issa


