Music Video

CONTROLLER (Official Video) - BALULU THE ICON
Watch CONTROLLER (Official Video) - BALULU THE ICON on YouTube

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
BALULU THE ICON
BALULU THE ICON
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Dave Barack Ambogo
Dave Barack Ambogo
Composer
Derrick Oduor Opiyo
Derrick Oduor Opiyo
Composer

Lyrics

He he he, Je jyeah,
Apana cheza na the Icon budah,
Apana cheza na the what
Si unajua, skia
Unanicontrol unanimodaaa modaa
Napenda ukisongaaa songa
Aki nyako unanibamba vibaya
Unafanya nifinye sauti ni kama choir
Unanicontrol unanimodaaa modaa
Napenda ukisongaaa songa
Aki nyako unanibamba vibaya
Unafanya nifinye sauti ni kama choir
Mi Napenda baby ukiroll dat
Napenda kwanza ukiwine dat
Hichi kiono chako si kawada
Cheki vile una wine
Cheki vile una wine
Unafanya icon anastay humble
Uko down 2nd head ukifanya mambo
Rambo kanambo, weka radio jambo
Ngoma za Balulu zinaguswa zinabang ah
Mr. Deejay, Deejay
Put de song pon da replay
Angusha kitu wacha delay
Nataka mskize Mikono za Videz
Mr. Deejay, Deejay, eh eh
Put de song pon da replay, eh eh
Angusha kitu wacha delay eh eh
Nataka mskize Mikono za Videz
Unanicontrol unanimodaaa modaa
Napenda ukisongaaa songa
Aki nyako unanibamba vibaya
Unafanya nifinye sauti ni kama choir
Unanicontrol unanimodaaa modaa
Napenda ukisongaaa songa
Aki nyako unanibamba vibaya
Unafanya nifinye sauti ni kama choir
Mmh, sing again (Sing again)
Na kama ngoma tamu sing again
Mmh, gyal dance again
Na kama ngoma tamu kama ngoma tamu
Shugli badi shugli badi move your body
Napenda baby girl uki move up your body
Wine to di riddim, dance wid a rhythm
Ikibamba sana tunaanza from beginning
Katoto kazuri katoto fine
Katoto kazuri si ni ka mine
Cheki shoree amebeba ma wah
Na akiyiengo sote tunabaki tu za wah
Mi Napenda baby ukiroll dat
Napenda kwanza ukiwine dat,
Hichi kiono chako si kawada
Cheki vile una wine
Cheki vile una wine
Mr. Deejay, Deejay
Put de song pon da replay eh eh
Angusha kitu wacha delay
Nataka mskize Mikono za videz
Unanicontrol unanimodaaa modaa
Napenda ukisongaaa songa
Aki nyako unanibamba vibaya
Unafanya nifinye sauti ni kama choir
Unanicontrol unanimodaaa modaa
Napenda ukisongaaa songa
Aki nyako unanibamba vibaya
Unafanya nifinye sauti ni kama choir
Written by: Dave Barack Ambogo, Derrick Oduor Opiyo
instagramSharePathic_arrow_out