album cover
Hakuna
687
Christian & Gospel
Hakuna was released on April 5, 2024 by JEMMIMAH THIONG'O as a part of the album Alinitua
album cover
Release DateApril 5, 2024
LabelJEMMIMAH THIONG'O
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM114

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
JEMMIMAH THIONG'O
JEMMIMAH THIONG'O
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Jemmimah Thiongo
Jemmimah Thiongo
Songwriter

Lyrics

Hakuna linalomshinda Yesu mkombozi wangu
Soma Bibilia utaona yote Bwana Yesu anaweza
Hakuna lililo gumu kwake anaweza
Hakuna hakuna hakuna linalomshinda
Yote Bwana Yesu anaweza 'liwatoa jasho makuhani
Na wazee hekaluni
Hakuna hakuna hakuna linalomshinda
Yote Bwana Yesu anaweza 'liwatoa jasho makuhani
Na wazee hekaluni
Magonjwa yakulemea Yesu 'liponya hata ukoma
Vipofu viwete na viziwi yote Bwana Yesu aliponya
Isitoshe alifufua Lazaro anaweza
Hakuna hakuna hakuna linalomshinda
Yote Bwana Yesu anaweza 'liwatoa jasho makuhani
Na wazee hekaluni
Hakuna hakuna hakuna linalomshinda
Yote Bwana Yesu anaweza 'liwatoa jasho makuhani
Na wazee hekaluni
Ulevi umekulemea 'ligeuza maji kuwa divai
Wapoteza macho kwa kumikumi waelekea poteza maisha
'Kimwamini hautaona kiu ya pombe
Hakuna hakuna hakuna linalomshinda
Yote Bwana Yesu anaweza 'liwatoa jasho makuhani
Na wazee hekaluni
Hakuna hakuna hakuna linalomshinda
Yote Bwana Yesu anaweza 'liwatoa jasho makuhani
Na wazee hekaluni
Hakuna linalomshinda njaa kwa Yesu sio tisho
'Liwapa shibe elfu tano toka kwa mikate miwili
Kabaki kuokota vikapu saba yashangaza
Hakuna hakuna hakuna linalomshinda
Yote Bwana Yesu anaweza 'liwatoa jasho makuhani
Na wazee hekaluni
Hakuna hakuna hakuna linalomshinda
Yote Bwana Yesu anaweza 'liwatoa jasho makuhani
Na wazee hekaluni
Hakuna linalomshinda baada ya kutufia msalabani
Aliingia kuzimu Yesu kanyang'anya shetani funguo
Kampa ibilisi tetemeko kubwa sana
Hakuna hakuna hakuna linalomshinda
Yote Bwana Yesu anaweza 'liwatoa jasho makuhani
Na wazee hekaluni
Hakuna hakuna hakuna linalomshinda
Yote Bwana Yesu anaweza 'liwatoa jasho makuhani
Na wazee hekaluni
Hakuna hakuna hakuna linalomshinda
Yote Bwana Yesu anaweza 'liwatoa jasho makuhani
Na wazee hekaluni
Hakuna hakuna hakuna linalomshinda
Yote Bwana Yesu anaweza 'liwatoa jasho makuhani
Na wazee hekaluni
Written by: Jemmimah Thiongo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...