album cover
Wangapi
71
Afro-Pop
Wangapi was released on March 28, 2024 by USWAZI BORN ENTERTAINMENT as a part of the album Wangapi - Single
album cover
Release DateMarch 28, 2024
LabelUSWAZI BORN ENTERTAINMENT
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM142

Credits

PERFORMING ARTISTS
Eno Plat
Eno Plat
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Eno Plat
Eno Plat
Songwriter
Eyoo Kenny
Eyoo Kenny
Arranger
PRODUCTION & ENGINEERING
Eyoo Kenny
Eyoo Kenny
Producer

Lyrics

We kama unakuja njoo njoo mimi niko mwenyewe
Ni muda mrefu nakungoja unielewe
Upwilu unakaba koo na dawa ni wewe
Aaa fanya haraka njoo na pombe tulewe
Aaah nimemisi mambo yako flani
Muda wote napiga simu eti yuko njiani
Au unanichiti maana sina amani
Mungu amekuumba wewe ni mzuri yani
 
Kwani bebi tuko wangapi mimi nakusubiri
Kwani bebi tuko wangapi,kwani bebi tuko wangapi
Nona muda unakwenda, kwani tuko wangapi
  
Ona na na na na Salam aleko we never seen before
Waone warabu nimezama mwenzako ooh
Njoo basi nikung'ate sikiooo
Siunajua nina wivu mwenzio
Aaaah bebi una nipanipa mapresha
Oooh ona yanapanda na kushuka
Ni kiwa mbali nawe nateseka
Wivu nao unanitesa
Aaah nimemisi mambo yako flani
Muda wote napiga simu eti yuko njiani
Au unanichiti maana sina amani
Mungu amekuumba wewe ni mzuri yani
  
 Kwani bebi tuko wangapi mimi nakusubiri
Kwani bebi tuko wangapi,kwani bebi tuko wangapi
Nona muda unakwenda, kwani tuko wangapi
 Kibwagizo
Aaaa cheza jiangalie usipande mzuka
We wakwangu mie sio kisa magari ukatada
Cheza jiangalie usipande mzuka
We wakwangu mie sio kisa magari ukadata mama
Unajua nakupenda mama
Bila wewe mi siwezi mama
Nisipokuona sili mama
Usingizi haujagi mama ayaya aya aya aya
Ni Ennoplat magic boy aaaaah aa we ze doni
Ze doni we kwekwea twende tena pris p brando
aaahKusah ndo dj eyo eyo eyo Kenny mbwa mwitu og
my dad bi brother kanuti boy
 
Kwani bebi tuko wangapi mimi nakusubiri
Kwani bebi tuko wangapi,kwani bebi tuko wangapi
Nona muda unakwenda, kwani tuko wangapi
Written by: Eno Plat
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...