album cover
Kafara
456
Christian & Gospel
Kafara was released on March 5, 2024 by JCB STUDIOZ as a part of the album Kafara - Single
album cover
Release DateMarch 5, 2024
LabelJCB STUDIOZ
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM99

Music Video

Music Video

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Elisha Ngussa
Elisha Ngussa
Songwriter

Lyrics

Ni kiongozi hodari Yesu mwokozi,
Aliiacha enzi yake akashuka chini,
Akajitwika uanadamu asiye haki, Akaangikwa kwa ajili yangu.
Yote hayo (hayoo) yote hayo aliyapata, Kadharauliwa katemewa mate,
Mkuki ubavuni Yesu walimchoma, Kunikomboa mi niliye mdhambi.
Kafara iliyomwagika,
Iliondoa makosa yangu;
Ni upendo ambao Yesu katoa,
Ili nipate kuwa huru.
Kafara iliyomwagika,
Iliondoa makosa yangu;
Ni upendo ambao Yesu katoa,
Ili nipate kuwa huru.
Asinge kuwepo Bwana Yesu kujitoa, tungepotelea kwenye shimo la dhambi,
Lakini ni nguvu ya Upendo wa Agape, ili mimi mdhambi niwe huru.
Kwa kupigwa kwake Bwana si tumepona, tumefanyika wana wake Kristo Bwana Yesu,
Ndiye njia iliyo kweli ndiye uzima, bado awapenda wote wadhambi.
Kafara iliyomwagika,
Iliondoa makosa yangu;
Ni upendo ambao Yesu katoa,
Ili nipate kuwa huru.
Kafara iliyomwagika,
Iliondoa makosa yangu;
Ni upendo ambao Yesu katoa,
Ili nipate kuwa huru.
Huuu! Ili nipate kuwa huru
Ili nipate kuwa huru (Huru!)
Ili nipate kuwa huru
Ili nipate kuwa huru
Written by: Elisha Ngussa
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...