album cover
Intro Freestyle
album cover
Intro Freestyle was released on April 12, 2024 by ADF Music as a part of the album Mtindo
AlbumMtindo
April 12, 2024
LabelADF Music
BPM
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Ilikuwa funny nilikuwa mtaani nikiwa ma nduku
Ati trending kwa Obare, uko ndethe, uko shughuli
Hizi ni gani hizi no gani, hizi form hata hazinihusu
Na me si upcoming so Kibare kwa huyu Kurutu
[Verse 2]
Ganji me naitisha nasikia wanapea show crew
Passport au visa hao mafala wana expect show?
Vile hard kunireach so kuna vile itabidi utumie zoom
Me nadai kuenda ibiza na aziza apewe shroom
[Verse 3]
Shout out Eldoret vile nilicome ilikuwa sugu
Show walikuja na mbogi but hiyo show niliwaosha nusu
Vile huyu boy mskinny lakini huyo ngeos alipiga nduru
Walikuja na ma kuku but hizo kuku niligeuza thufu
Hands down nionyeshe nani ananishinda kwa luku?
[Verse 4]
Buda najua uliomoka bado tunadeal na hizo story za ugumu?
One thing naujua , hardwork ndio hu dumu
One thing for sure, uzembe ndio sumu
[Verse 5]
F**k around ujipate uko majuu
F**k around ujipate uko Ethiopia mwaka prrr
Ka ni kuwa sober its nothing I don't do
Wananiita rocky so Rocky what it do
[Chorus]
Ukisikia kawasaki inacreep inamove
Ukiona ni watatu then itabidi utoke mbuga
Something always happening, yea something boutta move
Jua wewe ndio target and there's nothing you can do
[Chorus]
Ukisikia kawasaki inacreep inamove
Ukiona ni watatu then itabidi utoke mbuga
Something always happening, yea something boutta move
Jua wewe ndio target and there is nothing you can do
[Verse 6]
Piga hiyo bean, ride Ikuwe smooth
Blow off some steam , **** dont f****k up my moods
Big flex my team, **** always something new
100k for the weekend and 100k for the shoes
Written by: Boutross Munene
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...