Credits

PERFORMING ARTISTS
Keysha
Keysha
Performer
COMPOSITION & LYRICS
KHADIJA SHABANI TAYA
KHADIJA SHABANI TAYA
Composer

Lyrics

Wazazi tuna jukumu
Kubwa la ulezi wa watoto
Sisi ndio mama eeehh
Na sisi ndio baba eehh
Tumebeba dhima ya kuhakikisha tunawapa malezi bora aah malezi bora
Watoto wetu
Watoto wanataka maadili
Pia wanataka malezi
Na kujengewa misingi iliyo bora na manufaa kwa maisha yaaaaaooo
Yooooooteeee tumebeba wazazi hee wazazi wazazi Heyy wazazi hili ni jukumu letu
Wazaaazi wazaaaazzii wazaaaaazi hili ni jukumu letu
Tena tunatoa pongezi kubwa
Kwa Rais Dr Samiah
Ametusaidia majukumu yetu
Wazaaaaaziiiiiii
Katuletea elimu bure shule za msingi na sekondary
Umetufungulia mama vituo vya afya vya kutoshelezaaa
Umetuwekea miundo mbinu na kutuboresheeeeeeaaa mazingira mazuri ya jamiiii shukran kwako Mama
Yooooooteeee tumebeba wazazi hee wazazi wazazi Heyy wazazi hili ni jukumu letu
Wazaaazi wazaaaazzii wazaaaaazi hili ni jukumu letu
Wote tuseme Ni mama ni baba
Walezi wa wana Ni mama ni baba
mama samiah Ni mama ni baba
CCM nayo Ni mama ni baba
Woote tuseme Ni mama ni baba
Walezi wa wana ni Mama ni baba
Rais Samiah Ni mama ni baba
Wazazi nasiii ni Mama ni baba tekele yelele yeleleee
Written by: KHADIJA SHABANI TAYA
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...