album cover
Taabani
184
Music
Taabani was released on May 17, 2024 by D LOVE-1 as a part of the album Taabani - Single
album cover
Release DateMay 17, 2024
LabelD LOVE-1
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM80

Music Video

Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
D Love
D Love
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Gabus Juma
Gabus Juma
Songwriter

Lyrics

Aah!
Onaa nananina ninaa mapenzi
Foxx made it
Upendo ni maua na ye ndo bustani
Na mi ndo namiliki bomba maji namwagilia
Huyu ataniua akileta mautani
Me nimechoka kukonda hapa nang\'ang\'ania
Oh tena nimepima mizani
Kumbe amenizidi upendo kwa ndani
Ila kwa nje me ndo taabani
Oh sijiwezi niko taabani taabani
Ni mtihani Kumbe amenizidi upendo kwa ndani
Ila kwa nje me ndo taabani
Oh sijiwezi niko taabani taabani
Niko taabani
Uh taabani
Niko taabani
Uh taabani
Ile movie ijirudie tuliyocheza jana usiku we na mie
Unibusu nikumbatie ning\'ate shingo mpaka alama zibakie
Oh, bahari ni safi penzi liko salama
Na ushauri sitaki pelekeni angaza
Oh tena nimepima mizani
Kumbe amenizidi upendo kwa ndani
Ila kwa nje me ndo taabani
Oh sijiwezi niko taabani taabani
Ni mtihani Kumbe amenizidi upendo kwa ndani
Ila kwa nje me ndo taabani
Oh sijiwezi niko taabani taabani
Niko taabani
Uh taabani
Niko taabani
Uh taaban
Written by: Gabus Juma
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...