Credits

PERFORMING ARTISTS
Gisenyi Christian Assembly Choir
Gisenyi Christian Assembly Choir
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Elie Goldon
Elie Goldon
Composer

Lyrics

Ninaona mawimbi
Yupo mbele zangu
Baba wa mbinguni
Kuja kuniokoa
(Ohh, ninaona)
Ninaona mawimbi
Yupo mbele zangu
(Ohh, baba)
Baba wa mbinguni
Kuja kuniokoa
(Wewe unaelia)
Wewe unaelia
(Unaelia)
Acha kuomboleza
(Aliye)
Aliye lia Eloyi
(Ametangaza)
Ametangaza ushindi
Wewe unaelia
(Wewe unaelia)
Acha kuomboleza
Aliye lia Eloyi
(Ametangaza)
Ametangaza ushindi
Ukiona mawimbi
Ikiwa ni majaribu
Piga magoti uombe
Mungu msaada wako
(Ukiona mawimbi)
Ukiona mawimbi
Ikiwa ni majaribu
(Piga magoti uombe)
Piga magoti uombe
Mungu msaada wako
(Wewe unaelia)
Wewe unaelia
(Unaelia)
Acha kuomboleza
(Aliye)
Aliye lia Eloyi
(Ametangaza)
Ametangaza ushindi
Wewe unaelia
(Wewe unaelia)
Acha kuomboleza
Aliye lia Eloyi
(Ametangaza)
Ametangaza ushindi
Ukiona mawimbi
Ndani ya kazi za Mungu
Piga magoti uombe
Mungu yeye anajiweza
(Ukiona mawimbi)
Ukiona mawimbi
(Ohh mawimbi)
Ndani ya kazi za Mungu
(Ndugu mpendwa)
Piga magoti uombe
Mungu yeye anajiweza
(Wewe unaelia)
Wewe unaelia
(Unaelia)
Acha kuomboleza
(Aliye)
Aliye lia Eloyi
(Ametangaza)
Ametangaza ushindi
Wewe unaelia
(Wewe unaelia)
Acha kuomboleza
Aliye lia Eloyi
(Ametangaza)
Ametangaza ushindi
Wewe unaelia
(Wewe unaelia)
Acha kuomboleza
Aliye lia Eloyi
(Ametangaza)
Ametangaza ushindi
Written by: Elie Goldon
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...