album cover
Jimama
1,397
Music
Jimama was released on February 24, 2024 by Mchina mweusi as a part of the album Zero to Hero EP
album cover
Release DateFebruary 24, 2024
LabelMchina mweusi
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM153

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mchina Mweusi
Mchina Mweusi
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Mchina Mweusi
Mchina Mweusi
Songwriter

Lyrics

Track no1 Jimama
Siku hizi ukienda club
Kama upo wodi ya wazazi kila boy na mama yake
Kila demu na baba yake
Kutoka na watu watu wazima walianza manabii
Acha kunisema babu me sifagilii
Natoka na ma nanii
Wewe ina kuhusu nini
Kama ananibemenda mbona mwenyewe siumii
Sawa natoka na jimama lakini sio mama yako
Kweli natoka na jibaba lakini sio baba yako
Me sijakataa ndio natoka na jimama lakini sio mama yako
Udugu balance shobo ndio natoka na jibaba lakini sio baba yako
Kadi langu la clinic analo mama yangu
Ukiona nadate nae ujue uyo saizi yangu
Kadi la clinic analo baba yangu ukiona naruka nae
Ujue uyo saizi yangu
Kwanza wazee wanajua kutunza wanahonga hatari
Halafu hawachoshi kwenye mechi kimoko chali
Jamani mijimama inajua kutunza inahonga hatari
Ukiipeti peti itakuhonga hata gari
Sawa natoka na jimama lakini sio mama yako
Kweli natoka na jibaba lakini sio baba yako
Me sijakataa ndio natoka na jimama lakini sio mama yako
Udugu balance shobo ndio natoka na jibaba lakini sio baba yako
Siku hizi ukienda club
Kama upo wodi ya wazazi kila boy na mama yake
Kila demu na baba yake
Uko kitambaa cheupe na Kidimbwi
Kama upo wodi ya wazazi kila boy na mama yake
Kila demu na baba yake
Mke mwenza gani umelegea lege
Hata mlenda una afadhali
Sio shepu tu
Hata sura nimekuacha mbali
Me sio type yako unielewa shoga
Me sio type yako sina nidhamu ya woga
Me sio type yako unielewa mshamba
Me sio type yako mjini kitambo natamba
Written by: Mchina Mweusi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...