Credits
PERFORMING ARTISTS
Lafrik
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Lafrik
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Erick Njenga
Producer
Lyrics
Nazama na uzito wa pendo lako
Kila unapo nituliza
hakuna kinachonitosheleza
Ila moto la mahaba yako
Na dhahabu haiwezi kulinganisha
jinsi tunavyo pendana mama
Ata ukame ukuwepo mi na wewe ni hisia moja
Nitakupenda ata kifo haiweizi kunitenga nawe
Nitakuonyesha mapenzi milele daima nawe
Maisha yangu inakamilishwa nawe
Forever I will love you
Sijawai feel the way you make me feel
Feels like am in a day dream
Baby you make reality sweeter
Maisha yangu umebadilisha
Na dhahabu haiwezi kulinganisha jinsi tunavyo pendana mama
Ata ukame ukuwepo mimi na wewe ni hisia moja
Nitakupenda ata kifo haiweizi kunitenga nawe
Nitakuonyesha mapenzi milele daima nawe
Maisha yangu inakamilishwa nawe
Forever I will love you
Wawili wakipenda mungu huwabariki
Mi nawewe tunafaana sa mbona nikusaliti
Baby lemme love you for real
Show you that I ghat what you need
Forever I will love you
Nitakupenda ata kifo haiweizi kunitenga nawe
Nitakuonyesha mapenzi milele daima nawe
Maisha yangu inakamilishwa nawe
Forever I will love you
Nitakupenda ata kifo haiweizi kunitenga nawe
Nitakuonyesha mapenzi milele daima nawe
Maisha yangu inakamilishwa nawe
Forever I will love you
Written by: Ali Suleiman Juma Gongah, Brandon Israel, Jefferson Kaptunwo Chesebe, Lafrik

